Boda boda na vifo on the way

Boda boda na vifo on the way

We ni dereva bodaboda? Vp ulishawai banwa?
Na nan uliskia kabanwa makusudi?
 
asbh hii tayari dereva wa bodaboda na abiria wake wameshapoteza maisha maeneo ya lugalo jeshini.
 
Kumbe kuandika vizuri unaweza ila ujeuri wako tu !!
Haya tumekusamehe bure !!
 
Back
Top Bottom