Bado sijapata mteja ile boda boda yangu nahitaji laki tisa tu !! Imetumika miezi 8 haina tatizo lolote, kadi ipo !! Sababu ya kuuza ni kwamba ninahitaji pesa ya ada ya chuo !! Ambaye yuko serious ani pm tufanye biashara ...nawasilisha