Bod ya mikopo-OLAS

Barhearty

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
319
29
habar jf, naomba kujuzwa na hili. Wale tulioambiwa wakarudie kutuma maombi ya mkopo, mbona nikifungua hilo web yao haifunguki. Nimejaribu zaidi ya mara 5 kwa siku tano. Nini hasa tatzo
 
mkasaiihishe makosa mliyofanya siyo kuapply upya,haukuelewa soma tangazo vizuri
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
umechaguliwa kozi gani?
 
umechaguliwa kozi gani?

Kozi ya kipaumbele,na kwanini watu mnaleta ubaguzi kwa kuulizana kozi,inamana kuna kozi ambazo hazilipiwi ada?,tuachen hiyo tabia mkopo ni kwa wote wenye vigezo na vigezo ni kuwa mwanafunzi na kuwa na chuo ulichopangwa kusomea kozi.
 
tatizo lako unataka kuleta siasa, mbona hili lipo wazi kwamba serikali imesema haiwezi somesha watu wote chini ya mfumo na bajeti iliyopo na ndio maana wakazibainisha kozi zilizo na kipaumbele na zile zisizo za kipaumbele

Sasa unaposema ubaguzi mi nashindwa kukuelewa
 
Mpaka hapo hujaelewa?,kazi kweli kweli.haya mwanakamati wa BODI YA MIKOPO.
 
najua hali uliyokuwa nayo sababu nishawahi ipitia japo kwa namna tofauti nilipikuuliza umechaguliwa kozi ya kipaumbele au lah sikuwa na kusudio la kuleta ubaguzi kama vile unavyofikiri. Ishu ni kusaidiana hata kwa mawazo kwa kujua upo kozi ya kipaumbele au isiyo ya kipaumbele inasaidia kujua wapi tunaweza anza saidiana hata kimawazo

Mimi ni mtoto wa hali ya chini pengine hata zaidi yako na nipo chuo siwezi kudharau ama kukukatisha moyo kwa namna yoyote ile sababu mi mwenyewe kama nisingepata mkopo hiyo elimu ya juu ningeishia kuisikia tu

Kama nimekukwaza mahala naomba tusameheane
 
Jamani kuna jamaa mnoja kasema nijaze form ya mkopo kabla ya tarehe sita niwe nimepeleka bodi.Sasa sijajua hiyo form naipatje,aliye na taarifa juu ya upatikanaji wa form online anijuze
 
Back
Top Bottom