Bobi Wine apiga kura

Bobi Wine apiga kura

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
847
Reaction score
1,615
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie.

Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 40.

1768405748203.jpg
 
Ni formality tu, ila baada ya kuhesabu atatangazwa Museveni tena kama Rais
 
vyama vya upinzani UGANDA walitakiwa WASUSIE wakatae kushiriki uchaguzi wa mchongo ,wa tume ya uchaguzi ya mchongo,mpaka uchaguzi uwe huru na haki..kuna faida gani kushiriki uchaguzi na kwenda kupiga kura wakati matokeo ya uchaguzi yanajulikana mshindi atakuwa Mu7 miaka nenda rudi.
what is a point of going into a fake election while you know for sure who is going to win the election.??
 
Back
Top Bottom