Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,071
- 34,840
http://omg.yahoo.com/whitney-houston/
He didn't kill her... Na wamesahau kua mtoto wao needs him. Kila mtoto anahitaji at least one parent to help when the other dies. Wamemnyima Bobbi Kristina that right.
they have always been in contact and mom would allow thatYaani huyo mtoto amuhitaji baada ya mama yake kufariki? Nilisoma mahali the kid is also in drugs na ameshaenda rehab mara kadhaa! She doesn't need this monster for a father!
Kwani Witney alikua ni mtoto mdogo anayeshindwa kufanya maamuzi?mi naona wanamblame bob brown bure.yeye kama alikuwa msafi alitakiwa ambadilishe mume wake ambaye alikuwa anatumia madawa na sio kumjoin!
Yaani huyo mtoto amuhitaji baada ya mama yake kufariki? Nilisoma mahali the kid is also in drugs na ameshaenda rehab mara kadhaa! She doesn't need this monster for a father!
Truly, Brown drove Whitney into drug abuse or at least intensified it.
whitney alitumia madawa even before kuwa na BobbyTena Whitney alikuwa kamzidi Bobby kiumri. Halafu kama ishu ni uteja, ukweli ni kwamba hayo madawa walikuwa wanatumia wote.
Sasa sielewi kwa nini watu wanamlaumu Bobby wakati yeye na Whitney walikuwa washaachana tokea 2006 na hatimaye kutalikiana 2007 na kila mmoja akaendelea na maisha yake.
whitney alitumia madawa even before kuwa na Bobby
we need to learn history ya whitney, mama yake, kisa cha kuhama kanisa, whitney kuzungukwa na wifi, shemeji, kaka kwa miaka yote na bado pushers kama rayJ, waliweza kupenya kuwa intimate, we also need to learn ni vipi Bobbi kristina ataishi
hivi ukiolewa ukakuta mmeonijambazi na wewe unajifunza ujambazi ?
RIP WH