Nami ipo katika hatua hiyohiyo nduguSalaam wakuu
Kwa wale walioomba mkopo mwaka huu kuna ambaye ameshapata ujumbe kwenye account yake tofauti na ujumbe huu hapa chini?
Your application is already in Verification process, please wait for the next stage.
0736665533View attachment 2771257
habari jamani..naombeni mnisaidie..nimeapply nikafika mwsho lakini ikaniambia sinakamilisha preliminary info,nikafud kujaza hzo taarifa,kila nikijaza niruhusu kuemdelea na hatua nyingine inaliad sana,siku ya 3 sasa bado inaload tu..nkabadilisha browser lakn bado..nisaidien tafadhali
Angalia vizur tena uwenda kuna sehem wanataka urekebisheYangu mara ya kwanza ilisema "your application is verified complete, wait for the allocation"
Sasa hivi ndio inasema kama ulivyoandika hapo juu sasa siajelewa imekuwaje[emoji849][emoji849]
0736665533
piga hiyo namba wakusaidie wanachelewa kupokea lakini wanapokea na kusaidia
Hv ukifika kwenye hatua hii ya huu ujumbe wa kusubiri Allocation process maana yake ni nin kwamba umesha pata mkopo au
Yeah, unasubir tu kuambiwa asilimia ni ngapiHv ukifika kwenye hatua hii ya huu ujumbe wa kusubiri Allocation process maana yake ni nin kwamba umesha pata mkopo au
So anweza kuambiwa hata kapata 0%Yeah, unasubir tu kuambiwa asilimia ni ngapi
🤣0% sidhani, labda 1%So anweza kuambiwa hata kapata 0%
sidhani kama ni kweli,Hv ukifika kwenye hatua hii ya huu ujumbe wa kusubiri Allocation process maana yake ni nin kwamba umesha pata mkopo au