Bnadamu mzee dunan afark duna

halafu tuseme wazungu wanapendlewa wakat wanatunza rekod na sie tunatunza misimu
 
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!

sure wapo wazee moshi huko wana zaidi ya 120 bado wanapeta
 
wow it sounds nice.
 
Haswaaa. Utunzaji wa kumbukumbu ni kitu muhimu sana

hata swala m2 mrefu ulimwenguni nasi tunaeza tafta wa kwe2 tz tjue nan mrefu kuliko kukariri hasheem thabiti ndo mtz mrefu
 
Acha kunisimanga! nimezaliwa 1970's believe just got my birth certificate 7 yrs ago tena babada ya kutokea issue ya passport.unavyosema ni kweli kabisa kwa miaka hiyo si rahisi kuwa na kumbukumbu sahihi ,hao wanawaangalia wazee wao walivyo chakaa wanafikiri wamekula chumvi nyingi .mzee wa over 130 hata kujisaidia haja mwenyewe matatizo sasa wengine humu wanadai vikongwe wao wanalima!
 
wapo watu wanaishi miaka mingi sema hawatangazwi, ila walio katika ulimwengu wa kufikiwa kirahisi na kusikika kwenye vyombo vya habari ndio hao tunaowasikia.

Tatizo vyeti vyao havipo, hii inakuwa shida kuamini iwapo huo umri ni sahihi

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
huku tnawah kuzeek,mazngra yana changia
 
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!

Tatizo waafrica Tunafoji sana,
Tena mkishaambiwa kuna zawadi ndio kabisa watatokea mpaka wenye 160 hapa.
 
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!

Kweli mkuu kwani afrika wapo ambao mpaka ssa wako hai na wanaumri zaidi ya huo, labda watuambie ni mtu mzee kuliko wote weupe
 
Kweli mkuu kwani afrika wapo ambao mpaka ssa wako hai na wanaumri zaidi ya huo, labda watuambie ni mtu mzee kuliko wote weupe

hao wa Afrika nan anawatambua?muone mandela pale alipo miaka 94 vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…