Bmw x3 for sale

Bmw x3 for sale

LHD si nzuri kuendesha kwenye ambazo unaendeshea kushoto. Ni ngumu na hatari kupita gari lililoko mbele yako. Kwa Marekani kwa mfano kuna baadhi ya majimbo ni kosa kuendesha RHD kwa kuwa wao wanaendeshea upande wa kulia.

Sure,
Kwa bongo ukitaka ku-overtake Mpaka uitoe gari yote, huwezi kuchungulia kidogo ukarudi. Sasa kama Kuna ingine inakuja upande wako wa kulia na umeshaitoa gari yote ni hatari.

Labda uwe unaacha gap kubwa mbele yako ili uweze kuona mbele yako. Lakini nayo kama mmebanana kwenye foleni gap litatoka wapi?
 
Uendeshaji ovyo wa madareva bongo then ujitie na LHD mimi naona ni kifo mkononi
 
Mi nadhani ni ushamba kwa mtu kununua gari LHD wakati Tanzania ni RHD.
 
Back
Top Bottom