BMW na maneno kama reliability, costs of maintenance, durability, fuel economy havikai kwa pamoja.Chukua Subaru SH 9 ya mwaka 2012/13 nadhani kodi yake ni 13m ila angalia kikokotoo cha TRA kabla ya kuagiza ingiza chassis number ongea na agent maana hizo SH 9 zipo za mwaka 2008,9 zina kodi ya 18.6m.
Subaru na BMW sifa zake hazijatofautiana sana ila Subaru ni jiwe kidogo kwa mazingira yetu na pia zipo nyingi kwa mtu ambae unaanza na magari anza na Subaru..
Kwa ufupi chukua ambayo ni 2.0 isiwe 2.5 kodi inakua juu zaidi kidogo..
Chukua Subaru SH 9 ya mwaka 2012/13 nadhani kodi yake ni 13m ila angalia kikokotoo cha TRA kabla ya kuagiza ingiza chassis number ongea na agent maana hizo SH 9 zipo za mwaka 2008,9 zina kodi ya 18.6m.
Subaru na BMW sifa zake hazijatofautiana sana ila Subaru ni jiwe kidogo kwa mazingira yetu na pia zipo nyingi kwa mtu ambae unaanza na magari anza na Subaru..
Kwa ufupi chukua ambayo ni 2.0 isiwe 2.5 kodi inakua juu zaidi kidogo..
Naungana na Isanga family iwe SHJ sio SH9.
TRA wanataka Mil 25 kwa SH9 ya 2013.
Ila wanataka Mil 13.5 kwa SHJ ya 2013,
Pia wanataka Mil 11 kwa SHJ ya 2012
Na wanataka Mil 10.5 kwa SHJ ya 2011
Kwahiyo sweet spot ni SHJ ya 2012 na 2011.
Tofauti ya SH9 na SHJ za chapchap:
-SH9 mostly cc2500 (2.5 XT) wakati J unaweza pata 2000 (2.0 X au 2.0 XS EJ20) usichukue 2.0XT
-SH9 kwenye bonnet kuna lile tobo visually kwaajili ya Turbocharger