Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

Car4Sale BMW Tsh.Mil 18.5

Nalinunua hilo nimpate Kasinde,kanihamasisha kweli

Hahahahahahah nashukuru kuwa nguvu uchochezi ya kukufanya uongeze bidii kununua BMW... kila la kheri mwaya.
 
Ntakusubili Nyegezi. Walah this time nakojolea ndani maana hakuna namna honey🙂

Hahahaha sema polepole wasisikie watakufanyia mtimanyongo nisirudi tena huko. ... utasikia flight zote za mwanza zimezuiwa until further notice, mabasi mwisho shinyanga, kisha kuanzia hapo hadi mwanza ni vi haice tuu.... Twende polepole tufanye yetu kimya kimya....
 
wewe frank wewe ukiwa na bmw natembea uchi majukwaa yote humu jf

Duuh angalia usijebadili au ku edit haya maneno.... mwezi wa 11 sio mbali atii. Haya jiandae kisaikolojia kabisa labda uanze na riheso ya hayo matembezi. ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom