Ingekuwa kuna tatizo lolote basi lazima sensor ingepeleka info kwenye ecu then ingetokea sign kwenye dashboard. ..kuna gari nilituma bongo nissan primera. ..ilinisumbua sana kwa style kidogo kama yako lkn yenyewe haikuwa na tatizo la gear. .....kuna fundi mmoja yupo kariakoo aliniwekea mafuta gani sijui ya kusafisha mfumo wote wa engine. ...ilisaidia sana maana nilikuwa nishakubali kutoa laki nne za kununua sensor badala yake nikatoa elfu tano tu. ......ngoja nimtafute bimkubwa bongo anipe namba ya huyo fundi kisha nikupe umpigie
Watu wenye mangarangara utawajua tu!
unajua mafundi wa rejeta, gear box, sijui fundi umeme! X6 saa ngapi itagoma gear?
kwi kwi kwi. Kongosho salamu zako
Kiongozi gearbox ndio kwa heri,ikichemka inagoma,ukizima fluid inapoa that is why inakubali kwrnda,mie ilinitokea kwenye hilux surf ,akaja fundi akabadillisha transition fluid,nilitumia miezi 4 tu ikaanza tena,this time ikanigomea usiku mbali na nyumbani,kesho nikalivuta nikanunua gear box nyingineView attachment 168764
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Safi sana, hukutusahau wapenda picha mkuu.
Kabla ya yote nakushauri ufanye diagnostics then ndio uchukue hatua nyingine. Ila kua makini mafundi wengi wanazo za kichina na pia uelewa mdogo wa system waweza kukuingizia gharama zaidi. Mm ni fundi pia nafanya diagbostics kwa mashine za kisasam ofa kwako nitakufanyia bure kabisa. U can call me 0713849913
Wadau, leo mchana wakati naendesha gari yangu gear zilianza kuingia kwa shida [gari ni 320i automatic] na baadae gari ikagoma kabisa kubadili gear nafikiri ili gomea namba nne au tano maanake nilikuwa kwenye junction ikawa inaondoka kwa shida,kama manual uondokee namba tatu!!
Nilipaki pembeni ya barabara maanake ilikuwa inaenda slow kwa shida sana,baada ya dakika tano nikajaribu kuondoka ingawa kwa shida lakini ilifika angalau 50kph,kufika home getini ikagomea hapo nikailazimisha ikaingia ndani kwa shida sana,inaunguruma lakini haiendi. Nikajaribu kupaki ikagoma,nikazima gari na nakaiwasha hapo hapo gear zikakubali nikapaki.
Jioni kama saa 12 nikajaribu kuiwasha, gear zikaingia vizuri tu,nikatoka nayo nikaendesha bila tatizo hadi 80kph nikarudisha kupaki. Sasa hapa najiuliza tatizo ni nini??
1.ni gearbox imeshachoka
2.transmission fluid ishachoka[niliibadili hata km 2000 hazijafika]
3.electric problem yaani gear hazijitambui
Kama kuna mtu ashawahi kuppata hili tatizo anipe mwanga maanake mimi kabla ya kwenda kwa fundi huwa napenda niwe na idea nini inaweza kuwa tatizo kabla hawajaanza kubahatisha!
CC: OLESAIDIMU MANI CYBERTEQ Kaizer
Watu wenye mangarangara utawajua tu!
unajua mafundi wa rejeta, gear box, sijui fundi umeme! X6 saa ngapi itagoma gear?
kwi kwi kwi. Kongosho salamu zako
Angalia dashboard ya gari yako kuna taa zozote zinawaka mkuu? Inawezekana tranny sensor zinapata low voltage kiasi zinashindwa kubadilisha gear! Jaribu kupima battery lako au ikiwezekana tafuta battery jipya hata temporary kwa kujaribia inawezekana tatizo likaisha! Kama ikishindikana inawezekana tranny clutch za hizo gear ambazo haziingi zimeshakufa, ambayo Utahitaji new tranny, usisahau pia inawezekana alternator haifui umeme wa kutosha kuweza supply voltage za kutosha kwenye tranny sensor ili iweze kubadilisha gear, please do check the alternator as well, kwa gari lolote lenye charging system inayofanya kazi vizuri unaweza kutoa terminal moja battery wakati gari likiwa silence Kama halitozima basi ujue system ya charging haina tatizo ila wakati ukifanya hivyo usiwashe taa zozote za gari, Goodluck.
Mkuu hiyo ATF uliokota wapi? kabla haujazimia kwa kihoro tafuta ATF original kwanza, kama huyo fundi alitumia atf ya kawaida mostly tatizo liko hapo, BMW hazitaki kunyweshwa ovyo mkuu!
Biashara matangazo...
Pole kwanza kwa matatizo...
Ila ukijihisi unahitaji brand new spear parts kwa ajili ya hilo tatizo lako plz ni PM tunaduka la spear patts za BENZ, BMW, AUDI, FORD, JEEP, VOLKSWAGEN, tupo kinondoni studio opposite na Tid mnyama house... Pia order from abroad ipo.
Pia tunaweza kukuelekeza kwa mafundi wazuri wa MAGARI AINA YAKO kama SPRING CENTER sayansi, Kuna waliopo BEST BITES OSTERBAY, na mtaa wa SHAURI MOYO KARIBU NA DATASTAR TRAINING...
Karibu mkuu, best price in town... 0719484959