Ulitaka niweje kwa mambwiga kama hawa nawapa stahili yao kwani najua Nothing i am loosing kwa wato hao kwanza siwanunuaji bali maji taka yamejaa vinywani mwaoKakaKiiza Wahaya na biashara wapi na wapi? that's why huna good customers service language
Gari hii inauzwa Ni BMW 330ci Manual 2990cc Year manufacturer 2002
Contact. .0752307878
Unashangaa hiyo wakati kuna watu wanasukuma mitambo ya CC 4500 na ipo barabarani saa 24....Duuuuuh cc2990??
Sent from my iPad Air using JamiiForums
Muulize akiona Madiscover 5 anadhani ni cc ngapi huyo stata mzuka nishajua gari zake!hata gx100 anahara! achana na wavimba macho.Unashangaa hiyo wakati kuna watu wanasukuma mitambo ya CC 4500 na ipo barabarani saa 24....
Hao ndiyo wale wanaofiti kule ambako gsam aliviita V-Baby Walker.....Kama mfuko unaruhusu hanidanganyi mtu, gari lenye injini ya maana kama hilo lina raha yake, injini ikiitwa inaitika ndani ya sekunde.....Muulize akiona Madiscover 5 anadhani ni cc ngapi huyo stata mzuka nishajua gari zake!hata gx100 anahara! achana na wavimba macho.
Kwani jumamosi imefika?Jamani Taifa Star na Real Madrid ngapi ngapi?
Gari nzuri sana...tulitoka nayo jbrg mpaka btbrigde......hapo mwendo safi...comfortability safi
huyo mbwiga mbna siyo msitaarabu,!?tuwe wastaarabu kidogo mtu anatangaza bidhaa yake hakuna haja ya kuponda au kutoa kasoro kama mtu hutaki au hakikufai bora uchuune tu.
wadanganye wengine, labda driving school zitakuwepo huko Europe lakini mitaani katika magari 1000 labda moja tu ndo manual,manual ndiyo gari wewe mbona kuna baadhI nchi ya ulaya manual zinatumika nani kakuambia zama za manual zimeisha mkuu. GOOGLE