BMW Convertible Shl 16 ml.

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Gari hii inauzwa Ni BMW 330ci Manual 2990cc Year manufacturer 2002
Contact. .0752307878
 

Attachments

  • 1408382287127.jpg
    87.2 KB · Views: 733
  • 1408382315136.jpg
    71.6 KB · Views: 676
Hizi ndio moja ya gari za yule jamaa kafulia anauza moja baada ya nyingine?

Jamaa aliyemuoa yule Music Vixen...
 
Duuuuuh cc2990??


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Duhh,halafu yule Jamaa aliesimama pale nilipiga nae kitabu,kumbe mambo yake yalikuwa super?

Kwa ufupi Gari nzuri,kuna jamaa mmoja anayo huku anasumbua sana tena yake imechoka na anatembea nayo usiku,ukiiona unaona kali.
Lakini hii Kali mkuu,acha watu waje wafike bei
 
Mkuu hiyo picha ya pili ambayo umepiga kwa mbele hayo maji yanatoka kwenye gari au?!...otherwise it is a good car....enzi zangu za ujana nisingeiacha.....
 
Gari zuri halafu manual duh ningekuwa ni vizuri lazima ningekupandia hewani.
 
acha mbwembwe kigari chenyewe kimechoka, manual ya nini karne hii! Afu unakuwa jeuri rti.

Unajua tofauti ya manual gear na auto gear?
Au karne hii ndo karne ya auto?
 
KakaKiiza Wahaya na biashara wapi na wapi? that's why huna good customers service language
 
Last edited by a moderator:
acha mbwembwe kigari chenyewe kimechoka, manual ya nini karne hii! Afu unakuwa jeuri rti.
Ona boya mwingine....sasa hapa nikikushukia nitaonekana akili yangu imewehuka!ila una akili na ujui chochote juu ya mgari piga bunda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…