BM Moro to Dar kaja na mpya

BM Moro to Dar kaja na mpya

Huu Uzi ni stress zone free!!!

Yaani, arguments za uzi huu zinachekesha aiseeeeh.
 
KITI CHA MBELE UNAWAHI KUFIKA MKUU, AHAHAHA


ENIWEI, HATA KWENYE NDEGE VITI VYA MBELE NDIYO BUSINESS CLASS
 
Mbele vinapiganiwa sana hivyo wamefanya gharama labda ili wapande wenye fedha zao
 
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya kawaida ambayo ni 7000/=sasa sijajua vile vya mbele vina nini cha tofauti na vile vya nyuma?lakini niwape hongera wamiliki kwani ni mabasi mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba mkude kumbe hicho Moro dar nichakujadili? Mtwara tulishazoea ktk mabasi mengi ila Buti la Zungu walianza nayo
 
Back
Top Bottom