BM Moro to Dar kaja na mpya

BM Moro to Dar kaja na mpya

katika safar zangu ng'ambo KLM first class niliwaona wanasoma magazeti tu

tangu siku hiyo sitaki kusikia udanganyika huo wa business Na economy class
 
katika safar zangu ng'ambo KLM first class niliwaona wanasoma magazeti tu

tangu siku hiyo sitaki kusikia udanganyika huo wa business Na economy class
kenya airways wao naonaga wanapewa juice pakti zima tu.
 
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya kawaida ambayo ni 7000/=sasa sijajua vile vya mbele vina nini cha tofauti na vile vya nyuma?lakini niwape hongera wamiliki kwani ni mabasi mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mbona ni jambo la kawaida sana kwa mabasi ya kisasa kama Tashrif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
54bf087ac9a9c004763a1551fbc3e4d2.jpg
b892d5097ca86ad3919e47eb54571379.jpg
2440e66035180e4c0808aa5af39d8cb9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika safar zangu ng'ambo KLM first class niliwaona wanasoma magazeti tu

tangu siku hiyo sitaki kusikia udanganyika huo wa business Na economy class
Lugha labda ilikushinda kujua kuwa kuna wine, Whisky, beer nk pamoja na vyakula unlimited kule wewe acha tu, nilisafiri na hilo daraja na jamaa toka KOLOMIJE kwa masaa 13 angani ilibidi abebwe kwani alikuwa njwiiiiiiiiiiii!
 
Em weka picha tuone hizo siti zilivyo...
 
Nadhani mmeona tofauti ya hizo siti...bt pia hizo nne zina Tv ya pekeyake.. ambazo unaeweza control mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeehh... Tv nnayo home.

Ongea kitu kingine labda.. Wanakupa msosi wa kipekee...!?

Kunakua na dem anakumassage!?

Kuna vinywaji spesho!?

Ikitokea ajali hufi!??

...sifa tu..
 
Back
Top Bottom