Ndio itakua changamoto tu za kiutawala hope atalifanyia kaziNdio mmmiliki huyo Mkuuu.
Mbona Wachagga huwa wajuvi sana kwenye menejimenti imekaaaje hapo Dom sasa.
Hawawezi kujali chochote maaana kwa ruti ya Dodoma - Dar magari bado ni shida na wanafanya biashara kwa maringo sana na kujiskia sana. So hapo nyundo labda wapigwe na LATRA ndio watastukaBongo customer care ni janga la taifa si ajabu ukienda hpo baada ya wiki ukakuta hali ni ile ile hakuna mabadiliko yoyote
Hiki choo cha Ofisini au kwenye Basi?Wadau Salaaam.
Baada ya Sifa kedekede humu jamvini kuhusu huduma za Mabasi ya BM nikiwa katika harakati zangu Jijini Dodoma nikajisemea ngoja nikamate BM BUS nishuke zangu Morogoro.
Huku na kule nikafika Ofisin kwao Pale Dodoma. Ofisi iko Kituo cha Mafuta, Kwanza Hakuna Viti vya Wateja kukaa kusubiri bus.
Lakini nikajisemea ngoja nifike Msalani kupata huduma.
Hakika Hawa BM BUS ni ama Menejimenti haijitambui au Mmiliki hana Exposure na Elimu ya Biashara ya kutosha.
Vyoo ni kama Jalala, nimefedheheka sana nguvu tunayotumia kupiga Promo za Utalii na madude kama ROYAL TOUR Halafu wenyewe walioshika Sekta Binafsi ndio hawa akina BM BUS.
Vyoo utadhan umeingia Jehanamu? Hakuna makopo ya kunawia, Tiles zina ukungu wa miaka kibao, Ndoo za Kunawia ni Madumu ya Oil yamekatwa just imagine LATRA mmeidhinisha hizi stendi Bubu pasipo kuweka Standards mwishowe tunazoa magonjwa.
Mamlaka zetu amkeni hii haikubaliki hata kidogo.
Picha zinajieleza
Duhh..me ni mteja mzuri wa hayo ma bus ila kwa hapo kwenye vyoo kwakweli wamefeli sana.Pale Arusha hakuna kabisa choo wanasema kimejaa mara sijui kinajengwa.Kwahiyo inabidi ukajisaidie baa za pembeni na hapo.Inaboa sana sisi ni binadamu huduma kama hizo ni muhimu kwa wateja.Walifanyie kazi pls!Mkuu we sema tu kuwa ulishikwa na uharo wa ghafla tu, hayo mengine ni ajali kazini.
But on the real, watoa huduma wa Tanzania wana la kujifunza. Kuna msemo kuwa 'retail is detail. Sasa mtu unaweza kwenda sehemu huyo anaekupokea ni kama kalizimishwa kukuhudumia. Mazingira ya ofisi kama soko.
Kwa pesa wanayopata hao watu wamabasi hawashindwi kuweka ofisi zao kati mamdhari nzuri lakini mtu anaangalia faida tu.
Tatizo ni Mamlaka zetu kwa maaana ya LATRA wameruhusu kila Bus kuwa na Stendi zao binafsi pasipo kuweka udhihiti Ubora wa Hizo stendi huria. Ni aibu kubwa sana kwa BM na Chawa wake kwa ujumlaDuhh..me ni mteja mzuri wa hayo ma bus ila kwa hapo kwenye vyoo kwakweli wamefeli sana.Pale Arusha hakuna kabisa choo wanasema kimejaa mara sijui kinajengwa.Kwahiyo inabidi ukajisaidie baa za pembeni na hapo.Inaboa sana sisi ni binadamu huduma kama hizo ni muhimu kwa wateja.Walifanyie kazi pls!
Tumia akili kufikiri Mkuu.Watanzania wengi siyo wastaarabu ,hivo vyoo usione hivo wenyewe walishachoka na kero za wateja ,public toilets kwa hapa tz ustaarabu hamna kwa watumiaji, mtu anaingia chooni anatoka bila kuflash ,wengine wakati anajisaidia anachukua kinyesi anaanza kupiga machata kwenye kuta za choo,ndo ikiwekwa inaibiwa ,mara mlango unabamizwa na haufungi tena ,utaboresha mara ngapi.
Angalia vyoo vya uwanja wa taifa kwa mkapa ,kila siku wanarepair ila watu wanaiba koki hadi taa za chooni.
Yaaani hadi huruma, Dar Lux waliteka soko ndani ya muda mfupi sana, lkn masikio yalipozidi kichwa sasa hivi wamebaki kampuni isiyojulikanaUpuuzi na Uzembe wa namna hii ndio huua Kampuni, kuna siku watajikuta hawana wateja, menejiment na CEO wote ni wazembe kwanini wasiwe wanafuatilia na badala yake wansubiria kupewa tu report?
DAR LUX walianza vizuri lakini mwishowe walijikuta wanaharibu kisa uzembe tu wa viongozi.
Wameenda kukamilisha mawazo yao ya Africa is Shithole.Nimeshangaa sana kukuta hali hiyo na Sifa ambazo zimekuwa zikimwagiwa hao BM kuuumbe ni Useless kabisa.
Mbaya basi lilibeba Abiria wengine takribani watatu ambao kwa Muonekano wanaweza kuwa wa Bara Ulaya au America, kama waliingia huko msalani sjui wameondoka na picha gani??? Poooor LATRA
Mkuu Ipogolo ni next level hapo haujaingia mitaani kuna malls za kutosha mitaa ya Mwagongo hapo[emoji39]Kwanini sheli za waarabu zinavyoo vizuri na visafi mfano Iringa kuna sheli ipogolo ina msikiti mzuri na vyoo vya kisasa?
Kabisa mkuu. Gari linatoka Bukoba linafika Shekilango linashusha abiria hapo hapo wanalisafisha halijapimwa kama lina hitilafu, haliendi service wanaambiwa geuza rudi tena Bukoba, madereva hao hao. Likifika Kahama linapark abiria asubuhi wanafaulishwa kwenye basi lingine. Watu walilalamika sana kwamba mtayachosha magari na kukimbiza abiria kwa huduma mbovu...hawakusikia, sasa hivi kampuni haieleweki kama usemavyo.Yaaani hadi huruma, Dar Lux waliteka soko ndani ya muda mfupi sana, lkn masikio yalipozidi kichwa sasa hivi wamebaki kampuni isiyojulikana
Kumantain jina la Biashara muda mrefu ni akili na gharama saa, heko kwa Dar Express, Zuberi, NBS, Adventure, Kilimanjaro Express nkKabisa mkuu. Gari linatoka Bukoba linafika Shekilango linashusha abiria hapo hapo wanalisafisha halijapimwa kama lina hitilafu, haliendi service wanaambiwa geuza rudi tena Bukoba, madereva hao hao. Likifika Kahama linapark abiria asubuhi wanafaulishwa kwenye basi lingine. Watu walilalamika sana kwamba mtayachosha magari na kukimbiza abiria kwa huduma mbovu...hawakusikia, sasa hivi kampuni haieleweki kama usemavyo.
Akili ya Watu wa Visiwani utaijua tu. Kwanza Visiwani huwa hamchimbi vyoo kabisa nyie, ni haki yako kusema hayo. Lkn siku ukistaarabika na kuwa binadamu kamili utaelewa kwamba Choo panapaswa kuwaje!Chooni unatumia muda gani??hicho ni choo cha stand
Usilinganishe Waarabu na watu wasiojua biashara..Kwanini sheli za waarabu zinavyoo vizuri na visafi mfano Iringa kuna sheli ipogolo ina msikiti mzuri na vyoo vya kisasa?