Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,288
- 782
I overheard this story!
A: Umemcheki yule mrembo mshkaji?
B: Da! Ni balaa kaka, mzuri kama jini! Jamani kuna watu wazuri wazuri dunia hii!!
A: Mm huwa namzimia balaa, lakn hata kumpa salamu tu huwa naogopa!
B: aha ha haaa! we pumba kweli!...utamwambia nini huyo ww...!
C: Dah! ningekuwa mchawi wallah ningempigia misele usiku!
A: Au M na K zingekuwa na BLUETOOTH! Unasechi jina tu, kitu kinachoma ndani!
Nilishindwa kujizuia kucheka, wahahaa haha haaa! Kucheka ni dawa jamani
:yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck::yuck: