Bluetooth capacity

Bluetooth capacity

ommy clear

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
214
Reaction score
58
Naomba mwenye kuelewa tatizo la Bluetooth kwenye PC naona wananiandikia kama picha inavoonesha apo, naomben mwenye kujua aniambie shida nini na kipi cha kufanya apo manake nahangaika kuwasha Bluetooth bila mafanikio kwenye PC yangu
IMG_20190807_171854.jpeg
 
Pc yako haina a Bluetooth device (HARDWARE, PHYSICALLY)
AU unaproblem na driver na because unatumia windows 10 jaribu tu update to latest version
 
PC YAKO HAINA ADAPTER/DRIVER ZA KUSUPPORT BLUETOOTH...TAFUTA FUNDI AKUREKEBISHIE
 
tuambie model ya computer mfano HP PROBOOK 6540.

Pia angalia kama kwenye keyboard au kwa ubavuni kama kuna button yenye alama ya bluetooth
Ni laptop na sijawahii kutumia Bluetooth apa
 
tuambie model ya computer mfano HP PROBOOK 6540.

Pia angalia kama kwenye keyboard au kwa ubavuni kama kuna button yenye alama ya bluetooth
PC yangu ni HP probook 430
 
kwenye specs za hiyo laptop inaonekana inakuja na bluetooth hardware. Fuata link hapo chini kudownload driver ya bluetooth ambayo driver hiyo inakuja pamoja na driver ya Wireless (Wifi). kumbuka kuchagua operating syatem iliyopo kwenye pc yako kabla ya kudownload driver.

PC yangu ni HP probook 430
 
Back
Top Bottom