Blue Light blocking glass

Blue Light blocking glass

Mbacho Massawe

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
304
Reaction score
248
Blue Light blocking glass.
mwanga wa bluu ni kati ya miale mikali zaidi inayo pelekea kuua nguvu za macho.

Kampuni maarufu za macho, kama vile Warby Parker na Felix Grey, zilitengeneza miwani inayo chuja miale ya bluu inayotolewa kutoka kwenye vifaa vya elektronik Kama laptops, na smartphones.

Miwani hizi zina punguza, maumivu ya kichwa na kupunguza matatizo ya kulala yanayo changiwa na miale hii ya blue.

Hizi miwani zimebaki chache.
Bei: 30000/=
Kwa mawasiliano tucheki 0742645243
1595534228944.jpg
1595533336859.jpg
 
Back
Top Bottom