The "in between",huh?mie ni TEAM Blured
Bahati yao nimezeeka.Ningewagawia sukari guru ya babu.
Red mazima hiyo nido sio poa, lakini hii haiondoi ukweli Kwamba blue nayo ni balaa. Nashindwa kualewa
Acha kukaza mishipa ya fuvu bwa mdogo .. Roho Inakuuma wapi akati Leo weekend.. we kama sio wa hovyo usingeshobokea kuja hapa.joined Aug 16,2012
hovyo kabisa 😕😕
unatetea ujinga na wewe ndio wale waleAcha kukaza mishipa ya fuvu bwa mdogo .. Roho Inakuuma wapi akati Leo weekend.. we kama sio wa hovyo usingeshobokea kuja hapa.
Ujinga gani uliopo kwenye hii thread bwa mdogo?...unatetea ujinga na wewe ndio wale wale
soma tena komenti yangu utaelewa ujinga ukowapi.Ujinga gani uliopo kwenye hii thread bwa mdogo?...
Nataka mix
Money ner labda marehemu baba angusoma tena komenti yangu utaelewa ujinga ukowapi.
halafu mimi sio bwana mdogo naweza kuwa babaako
utajua weweMoney ner labda marehemu baba angu
Haka ndio kanaitwa Kasichana😄😄
najua unakereka lakini badirika wenzenu tumebadilika nyie mpo vilevile upuuzi upuuzi tuUsibishane na wapuuzi😂