Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

Tunataka kujua wewe nani? Sisi Watanzania tumesharidhika labda wewe na ukoo wenu ndiyo mnataka kujua ushenzi!

Hivi ndio vichwa ambavyo watawala wa third world wana deal navyo, very easy to sway and bamboozle. Tunauliza detail za mikataba wengine wanasema hatutaki kujua huo ushenzi, hivi nchi ina watu vichwa panzi namna hii?
 
1.Terrain ya Dar Moro inafahakima,haipo challenging sehemu nyingi zimejaa Tambarare ya kutosha.kama dar moro wanatuchaji bilioni, wakifika singida si watatuchaji bilioni 3?!waliowahi kufika uturuki huwezi sema terrain yetu ni mbovu kuliko yao.terrain yao ni majanga matupu.
2.reli yao ni high speed dual lines, hivyo kitendo cha kukaribiana nao bei tu tayari tumeibiwa. Maana reli yao ina spidi ya 250km/h full umeme.,ya kwetu ni 160km/h diesel+ umeme.
3.Umeweka segments za Istanbul Districts,obviously zitakuwa bei ghali,reli yetu inapita mapotini tu.
4.miaka hiyo reli yao inajengwa kuna wati steel ilikuwa $1200 kwa tani, sasa ni $400 tu kwa tani.

Narudia tena,hapa tunapigwa na itakuja kufahamika baada ya hii reli kuisha. Kenyatta alibisha sana wakati watu wanalalamika kuhusu reli yao, na yeye akaka na visingizio vya madaraja mbuga za wanyama.,bomba lammafuta mtwara nalo tuliambiwa visababu kama hivi. Mwisho wa siku ikafahamika watu bei walizidisha mara mbili.

Kipande cha Dar-Moro kina usumbufu sana hasa maeneo ya Ruvu mpaka Kidugalo, kina maji sana na aina ya udongo pia ni ule uliopo kwenye Ardhi owevu
 
Back
Top Bottom