Inabidi uupload iyo pdf file yako kwenye any file host server, mfano dropbox, mediafire n akadhalika, baada ya hapo copy iyo public url kisha ukimaliza nenda kaipaste kwenye blog yako.... kuhusu facebook wameongeza option yakuupload file so ni rahisi zaidi utaona kuna sehem wameandika upload file clikc hapo kisha utaweza kuupload iyo pdf file yako