blogs za Tanzania: Swali

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
898
Hivi hizi blogs zote zinafanana?

ukienda michuzi habari ndio hizo hizo....ukienda mjengwa au bongo celebrity na zinginezo they all have same news na majority are poorly structured which can be quite frustrating...

hivi kwa nini mstu asianzishe photo journalism blog ambayo itaruhusu watume news and photos from all over the country?
 
Tatizo umeliona...Suluhisho unalo...sasa kwanini usianzishe wewe?
 
Watu wanang'ang'ania michuzi tu sababu ya uvivu wa kusoma. Kuna site kama Tanzania News Link - Home page articles imetulia mno, na wanakaribisha habari, yaani site ile ni tofauti sana, its just unique and i think mkiitembelea mtasema this is it!!
 
Ni vema kwanza ukajua maana ya blog, kabla ya kufananisha hizo blog mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…