Bloggers help tafadhali

dongbei

Senior Member
Jan 18, 2013
151
140
​Salute kwenu wadau, Msaada wenu unahitajika sana, Nikiri kwamba sio mtaalam sana wa haya mambo.

Nina blog yangu bado ni mpya kama mwezi hivi baada ya kuifungua, kwa sasa nina experience tatizo ambalo sijui
limetokana na nini na jinsi gani ya kulitatua, tatizo lenyewe ni kwamba,,,,, Kila napofika kwenye BLOGGER DASHBOARD servicee nayoweza access ni create new post na view blog tu, zile nyingine mbili yaani go to post list ambapo unaweza kuona orodha ya post zako ulizozipost kwa blog yako na More Options ambayo unaona functions kama OVERVIEW, POST, PAGES, COMMENTS, LAYOUT, TEMPLATE, SETTINGS na nyinginezo siwezi access.

Nikifungua hapo kwa mfano
OVERVIEW, TEMPLATE au SETTINGS page ina load then inafunguka ambapo inaonekana kwa sekunde sio zaidi ya 5 then inaendelea ku load mwisho inaishia kuwa white blank page. Nimejalibu kila means kadri ya uwezo wangu nimeshindwa kujua tatizo ni nini na solution yake. Inaniwea ngumu kufanya kazi bila hizo options maana ni muhimu sana. Hivo basi wadau naombeni msaada wenu wa mawazo na technical support kwa wale watalaam wa mambo haya.

Karibuni Tafadhali!!
 
mara ya mwisho kuzima conputer ni lini? hutokea tatizo kama hilo kama kuna pending installation ambayo inasubiria uzime computer ili installation iendelee.

zima computer then washa halafu nambie
 
mara ya mwisho kuzima conputer ni lini? hutokea tatizo kama hilo kama kuna pending installation ambayo inasubiria uzime computer ili installation iendelee.

zima computer then washa halafu nambie

Nashukuru kaka Mkwawa tatizo lina siku kama nne hivi, so computer nishaizima mara nyingi tu, labda kama unanishauli nijaribu tena kwa sasa, ngoja nifanye hivo nitakujulisha soon
 
mara ya mwisho kuzima conputer ni lini? hutokea tatizo kama hilo kama kuna pending installation ambayo inasubiria uzime computer ili installation iendelee.

zima computer then washa halafu nambie

Aise bado vile vile mkuu
 
Back
Top Bottom