Blogger njooni muone hii katika blog hii

kama upo serious chukua domain ya .com kabisa unaweza ipata kwa elfu 10 kwa mwaka ukitumia coupons za go daddy, cha pili chukua plan wa deluxe wordpress (tumia coupons ukihitaji bei rahisi ) ,,,,blogspot kwa ushauri wangu haikufai kama wewe ni serious blogger....Ni ushauri tu kwa maono yangu.
 
mkuu kwa nini umesema blog haifai naomba neno kidogo hapo
 
1. Hizo picha za matangazo ya tigo, smart na tanesco ondoa mana hazikulipi, Wenzio wakiweka wanalipwa na pia yana re-direct kwenye links husika.

2. usichanganye content za kiswahili na kiingereza,,,kuwa na msimamo.

3. Unachanganya sana posts ..mara uweke za michezo mara za andoid...chagua kimoja.

4. Tumia domain ya .com

5.Tumia wordpress ili upate themes kali kama sahifa na addons kali kama yoast seo ambayo inasaidia kuongeza organic traffic kwa urahisi

6.monetize blog yako kwa kuweka matangazo ya adsense(kama unayo) au propeller ads au kampuni nyingine utayoipenda
 
kama upo serious chukua domain ya .com kabisa unaweza ipata kwa elfu 10 kwa mwaka ukitumia coupons za go daddy, cha pili chukua plan wa deluxe wordpress (tumia coupons ukihitaji bei rahisi ) ,,,,blogspot kwa ushauri wangu haikufai kama wewe ni serious blogger....Ni ushauri tu kwa maono yangu.
Oya naipata je coupons za go dady
Je kuna namba ingine ya kuwalipa bila kupitia benk!??

Plz naomba maelezo nataka nunua domain name toka kwako kwa ajili ya blog yangu!
 
hiyo template umedesign mwenyewe au copy and paste?. sasa ipe jina hiyo template kisha ingia themeforest nenda kaiuze utapata pesa mingi. afu nashangaa kwanini template designers wakibongo hawaweki templates zao themeforest au wanaishie Fiverr
 
nimedizaini mwenyew mkuu
 
1. Hizo picha za matangazo ya tigo, smart na tanesco ondoa mana hazikulipi, Wenzio wakiweka wanalipwa na pia yana re-direct kwenye links husika.

2. usichanganye content za kiswahili na kiingereza,,,kuwa na msimamo.

3. Unachanganya sana posts ..mara uweke za michezo mara za andoid...chagua kimoja.

4. Tumia domain ya .com

5.Tumia wordpress ili upate themes kali kama sahifa na addons kali kama yoast seo ambayo inasaidia kuongeza organic traffic kwa urahisi

6.monetize blog yako kwa kuweka matangazo ya adsense(kama unayo) au propeller ads au kampuni nyingine utayoipenda
Machozi ya simba baomba kuuliza

Je kama site yako haina .com kuna shida gan labda???
 
.blogspot.com inakua huna hatimiliki nayo,akitokea mtu akasajili kwa jina la blog yko kwa .com au .co.tz ye ndo anakua mmiliki halali wa jina.so itakulazimu wewe km unatak usajil utafute jina jingine.hapa shida inakuja kweny branding coz utakua km unaanza upya....umenielewa?
 
nimedizaini mwenyew mkuu
Hapana wewe ume modify template. Template belong to
NAME: GEEK PRESS
VERSION: 2.1.3
- Fixed: IE8 not work properly
AUTHOR: TIEN NGUYEN VAN
SITE: http://bloggeritems.com
SHARED BY: http://www.guidepedia.info

hiyo template umedesign mwenyewe au copy and paste?. sasa ipe jina hiyo template kisha ingia themeforest nenda kaiuze utapata pesa mingi. afu nashangaa kwanini template designers wakibongo hawaweki templates zao themeforest au wanaishie Fiverr
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom