Wadau kuna shule nimeitengenezea blog but tatizo linalojitokeza ni kuwa kila ninapoifungua katika njia ya kawaida hiafunguki mpaka niisearch kwa google ndio naipata....je tatizo ni nini hapo? Naomba kujuzwa wadau
Me tatzo langu kuna blog nliifungua nkiisearch google siipati mpaka niandke jina kamili la site, nfanye nn ili niweze kuipata ktk search engine ya google
Me tatzo langu kuna blog nliifungua nkiisearch google siipati mpaka niandke jina kamili la site, nfanye nn ili niweze kuipata ktk search engine ya google
unaenda kuiadd ni vizuri pia ujiunge na google webmaster tool utaona kila kitu kuhusu site yako na matatizo bot ya google inayoyapata pindi ikivisit site yako. pia utajua keyword gan inakuletea watu wengi na mengine mengi