Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Yes. Maji ya moto na asali na ndimu.Jina La Id linajieleza 😅😅😅Mimi mtu nisie na mawaa sikasiriki hovyo najua nazidi kujifunza
Lakini umekunywa chai ???
Napenda sana kuanza siku yangu hivyo.
Wewe umekunywa?