Blog Content Writer 10k cash

Blog Content Writer 10k cash

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
4,427
Reaction score
9,298
Nina blogu ambayo ninahitaji kuibadili kuwa ya Kiingereza natafuta mtu atakaye niandikia post 10 zenye urefu angalau maneno 1250 nitamlipa kiasi nilichokitaja hapo juu njoo PM

Post zisiwe za copy and paste nitazichunguza sana pia zihusu tech Ahsante kwa wewe utakayeona inakufaa karibu PM

Blogu yangu kwa sasa ipo kwa Kiswahili ila nipo kwenye mpango wa kuanza kubadilisha lugha karibu
 
Nina blogu ambayo ninahitaji kuibadili kuwa ya Kiingereza natafuta mtu atakaye niandikia post 10 zenye urefu angalau maneno 12500 nitamlipa kiasi nilichokitaja hapo juu njoo PM

Post zisiwe za copy and paste nitazichunguza sana pia zihusu tech Ahsante kwa wewe utakayeona inakufaa karibu PM

Blogu yangu kwa sasa ipo kwa Kiswahili ila nipo kwenye mpango wa kuanza kubadilisha lugha karibu
Maneno 6000 Tu unapumulia machine plus sio kitu unakijua lazima kusearch details huku na kule aiseeh!
Anyways anayeweza akomae fursa hiyo.
 
Mkuu maneno 12500 ni maneno standard ya research ya masters.Sijua kama unataka blog article ya maneno 12500 na unataka nani asome maneno 12500.Blog post haipaswi kuzidi maneno 1500 unless iwe very necesary.Pili Kama unataka kuandikiwa POST za kizungu kwa Bei hio uliyotaja nafikiri bado hujaweka strategy yako vizuri.Fanya kunitafuta PM naweza nikakupa hints kidogo vile unaweza fanya.
 
Ka buku kumi Mkuu?

Unacheza na uandishi, tuone tu tukiandika sredi za kiboya.

kuandika kunataka moyo mkuu binadamu mtakatifu
Mkuu maneno 12500 ni maneno standard ya research ya masters.Sijua kama unataka blog article ya maneno 12500 na unataka nani asome maneno 12500.Blog post haipaswi kuzidi maneno 1500 unless iwe very necesary.Pili Kama unataka kuandikiwa POST za kizungu kwa Bei hio uliyotaja nafikiri bado hujaweka strategy yako vizuri.Fanya kunitafuta PM naweza nikakupa hints kidogo vile unaweza fanya.
Hivi unayajua maneno 12500 kaka?
Kwa hiyo Tsh 10,000 akipata sana Ni maneno 1,000.

Tena kwa kumsaidia.
nilikua namaanisha maneno 1200 nilikosea kutype mkuu
 
Walau hapo fanya 5k kwa kila article yenye maneno 1200 walau walau maana hayo maneno ni kama page 3 za A4 ata kama ni stationary kutype tu ni 3k bado kufanya research na kupitia mitandao ili kuandika article iloshiba na ya uhakika funguka mkuu acha kurahisisha upate article nzuri. Na hiyo ni walau.
 
Back
Top Bottom