Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
yah umeingia chaka kinoma sasa sijui hiyo assignment utasahihishaje mwamba.Ujasikia tangazo au vp nimeingia chaka hicho kingereza au?
Full kuchakarika.
yah umeingia chaka kinoma sasa sijui hiyo assignment utasahihishaje mwamba.Ujasikia tangazo au vp nimeingia chaka hicho kingereza au?
Au alimaanisha madingi wasi replyaisee kumbe ndio maana unataka mtu akuandikie kwa kingereza, mbona muajili mwenyewe jau [emoji23]
Au alimaanisha madingi wasi reply
yaani father [emoji1787][emoji1787]
Ukimaliza tako linakuwa kama wa dereva fuso aliyeendesha gari muda mrefu.Maneno 12,500 kwa Tsh 10,000 Hahahahahahah, Duh
Tulikua hatuwapendi waliimu unafikiri tutafauluje anyway kiingereza najua ila sio kama mzungu mistake zipo tu kifupi ni kusaidiana 🤓🤓🤓yah umeingia chaka kinoma sasa sijui hiyo assignment utasahihishaje mwamba.
Full kuchakarika.
[emoji23]aisee kumbe ndio maana unataka mtu akuandikie kwa kingereza, mbona muajili mwenyewe jau [emoji23]
Sure.Tulikua hatuwapendi waliimu unafikiri tutafauluje anyway kiingereza najua ila sio kama mzungu mistake zipo tu kifupi ni kusaidiana 🤓🤓🤓
Maneno 1250 X 10 = 12500 words kwa elfu 10?Nina blogu ambayo ninahitaji kuibadili kuwa ya Kiingereza natafuta mtu atakaye niandikia post 10 zenye urefu angalau maneno 1250 nitamlipa kiasi nilichokitaja hapo juu njoo PM
Post zisiwe za copy and paste nitazichunguza sana pia zihusu tech Ahsante kwa wewe utakayeona inakufaa karibu PM
Blogu yangu kwa sasa ipo kwa Kiswahili ila nipo kwenye mpango wa kuanza kubadilisha lugha karibu
Hapo pa kutype sasa ukitype huku upo JF utamaliza kwa mbinde sanaaaa.Maneno 1250 X 10 = 12500 words kwa elfu 10?
Hebu acha dharau wewe, kazi ya translation inalipwa kivyake na kazi ya typing kivyake. Maneno 400 watu wanachaji 5-10 dollars. We unataka ulipe mtu tsh.10,000 utangoja sana
Hahahahah kwa tabu mnoHapo pa kutype sasa ukitype huku upo JF utamaliza kwa mbinde sanaaaa.
Na pia itategemea ni siku gani ya wiki. Labda uwahi Ijumaa asubuhi kama hivi aisee baadae mchana mchana watu wameshashiba biriani hakuna rangi za kubeua utaacha kuona.Hahahahah kwa tabu mno
Hahahah watu wanajibidua zao maviwanja tuNa pia itategemea ni siku gani ya wiki. Labda uwahi Ijumaa asubuhi kama hivi aisee baadae mchana mchana watu wameshashiba biriani hakuna rangi za kubeua utaacha kuona.
Kivipi inapunguza life expectancy?Mkuu English sio mchezo.
Yaani English inaongezaga metabolism, inazidisha mapigo ya moyo, uono unafifia aisee usifanye mchezo kabisa.
Hebu ongeza ka hela hata kwa 1200 hailipi hiyo.
Unapunguza life expectancy ujue?
Naomba ufafanuziOhooooo.
Usijaribu.
Jina La Id linajieleza 😅😅😅Mimi mtu nisie na mawaa sikasiriki hovyo najua nazidi kujifunzaSure.
Any help you need just let us know.
Ila isiwe ndefu sana we can always correct you.
Nimependa your sense of humor hujamaind ovyo ovyo.
Iweke hapa hapa kazi yako, omba kuwa corrected and hopefully wadau watakuwa hawajaanza kunywa wanzuki kazi yako itaenda fresh sana.
Cheers.
Mkuu, maneno 400 mengi sana.Maneno 1250 X 10 = 12500 words kwa elfu 10?
Hebu acha dharau wewe, kazi ya translation inalipwa kivyake na kazi ya typing kivyake. Maneno 400 watu wanachaji 5-10 dollars. We unataka ulipe mtu tsh.10,000 utangoja sana