Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Bora hata huyo ambaye blazia hajafua, nilikutana na moja kwa nje kavaa kama Beyonce ila kwa ndani blazia yake anatumia mipira ya baiskeli (manati), ilituchukuwa muda kuitafuta blazia wakati tunaondoka mana alipoifungua iliruka kutoka kitandani na ikajitundika kwenye kitasa cha mlango.....kidogo ncheke.
ha haaaaaaaaaaaa, MgonjwaUkimwi, umenifanya niishiwe nguvu kabisa kwa kucheka. sasa huyo kazidi, hadi kwenye date anavaa manati? au ndo alikuwa nayo hiyo hiyo?