King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Wala hutapata kitu. Kuna issue ya cheque list ambayo mwenye kumiliki cheque anaipeleka bank.
Unaonaje nikifanya hivyo.
Unaonaje nikifanya hivyo.
Mwee! kumbe kuna "blank cheque" na "bank cheque", ushamba bana!
Pia kuna black cheque ushawahi iona?
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...
so long as its BLANK no problem...huwezi chukua nayo mkwanja bila kushirikiana na TELLER wa bank
Mwee! kumbe kuna "blank cheque" na "bank cheque", ushamba bana!