Blank cheque imeokotwa dar es salaam

Blank cheque imeokotwa dar es salaam

Mantz

Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
97
Reaction score
30
Aliyepoteza blank cheque awasiliane na mimi akiwa tayari kujibu yafuatayyo;

1. Ni ya kampuni gani (jina la kampuni ni sinza ......... Ltd)
2. Ni ya benki gani
3. Branch gani
4. Cheque namba.

Mods tafadhali iweke katika forum ambayo itaonwa na wengi kwa mara moja.
 
Mwee! kumbe kuna "blank cheque" na "bank cheque", ushamba bana!
 
so long as its BLANK no problem...huwezi chukua nayo mkwanja bila kushirikiana na TELLER wa bank
 
so long as its BLANK no problem...huwezi chukua nayo mkwanja bila kushirikiana na TELLER wa bank
Ndio maana tunasema mateller wanahusika sana kwenye hii mambo
 
Ndio maana tunasema mateller wanahusika sana kwenye hii mambo
Haya mtafute huyo teller sasa kama huipendi future yako....mkidanganyana mitaani mnajua ni rahisi rahisi tu,
 
Mkuu hiyo blank cheque peleka bank husika watawasiliana na mteja wao, wanaosema mtafute Teller mtoe mpunga wanakutafutia matatizo na hawaelewi lolote wapotezee
 
Haya mtafute huyo teller sasa kama huipendi future yako....mkidanganyana mitaani mnajua ni rahisi rahisi tu,
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...
 
Ohh! ahsanteni wakuu, Sorrow to Joy, Bubu Msemaovyo na Elungata kwa kunitoa tongotongo machoni, mi mwenzenu nimezoea kuweka pesa mchagoni, so hayo mambo ya benki mi bado mshamba, kingine pia nilikimbia umande, hahaha hahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo blank cheque peleka bank husika watawasiliana na mteja wao, wanaosema mtafute Teller mtoe mpunga wanakutafutia matatizo na hawaelewi lolote wapotezee

Sawa Mkuu. Kama hakuna effect yeyote kwa mwenye nayo bora niipotezee tu. Maana si mjuzi wa mambo haya ndio maana nikashtuka nilipoiona.
 
Sawa Mkuu. Kama hakuna effect yeyote kwa mwenye nayo bora niipotezee tu. Maana si mjuzi wa mambo haya ndio maana nikashtuka nilipoiona.
Yah mkuu unaweza kuidestory tu kwa usalama zaidi maana mwenye cheque asipoiona atatoa taarifa bank wafanye stop payment ya hiyo cheque leaf. Tena ukiichana chana ndio njema zaidi utakua umewaokoa na hao wenye akili kwamba wamtafute bank teller wale chapaa kumbe wananunua msala bure...big up sana
 
mkuu mimi huwa siibi, ila nawachukia sana wezi na kuwaripoti mamlaka husika, kama vp tushirikiane katika kuhabarishana ni mbinu gani wanatumia mkuu tuwaripoti majizi yote yakamatwe...
Hapo sana mkuu... Big up sana
 
Back
Top Bottom