Nilipo highlight! Usisuthubutu kumwambia mkeo uliwahi...mwambie huyu malaya tuu ananifuata ...fuata...halafu huyo cd usimuendekeze kihivyo..biashara si iliisha zamani..don't be weak brother.Wewe acha ubwege wewe,hakuna aibu kwa mwanaume kuchukua dada poa,
aibu kama wewe ungekuwa unajiuza na kulambwa.....
Wewe mwambie hutaki akaseme popote.....
Mwambie mkeo huyo dada ni cd uliwahi kununua huduma zake zamani,
ukiendelea kumlipa basi kuna siri nyingine labda na sio huyo ya kununua
huduma.....
Nilipo highlight! Usisuthubutu kumwambia mkeo uliwahi...mwambie huyu malaya tuu ananifuata ...fuata...halafu huyo cd usimuendekeze kihivyo..biashara si iliisha zamani..don't be weak brother.
nakubaliana nawe kabisa mkuu tumain, na mkeo siku zote atakuamini wewe badala ya changudoa. Usimpe tena hata senti tano achana na woga wako na uwe tayari kukabiliana naye kwa nguvu zote.
Hujaweka sawa hapa: je unaishi na mkeo/familia?Kama uko mwenyewe, ni wazi hawezi kuogopa kuja na kuomba chenjichenji/rizki, maana kama wewe umeamua kuachana na tabia hizo, yeye hujamtaarifu, and any offer or refusal must be communicated to the intended party! Kwahiyo anatest zali ili kamavipi mpeane huduma kwa hapohapo jirani!Lakini kama unamaanisha, mkataze kwa kumwangalia machoni...i mean be serious, maana hakudai kitu(unless kama ulikuwa unamkopa huko nyuma)!
wakubwa ni kuwa mie bado sijaoa, hapa nilipohamia najitahidi kujiweka sawa, ili mazingira ya kumpata mchumba yawe ya kumjengea matumaini huyo mchumba mtarajiwa. Lakini huyu cd naona ananichafulia kiaina, mfano ikitokea siku nikampata ninayeona anafaa, nina hofu kuwa majirani wanaweza kumwambia kuwa nina mazoea na huyo cd. Halafu sijui nimepatwa na hofu ya kiasi gani, sithubutu kuzungumza na huyu msichana kwa zaidi ya dakika 5, kila wakati nakuwa na hofu kuna watu wanatuona na kutusikia, na yeye anautumia vizuri sana huo mwanya kuweka madai yake. Siku ile aliyokuja kuniomba (kunipora, maana sikutaka kabisa kumpa) sh elfu 20, alianza kuniita kutoka mbali nilipoingia tu getini! Na alitumia jina la bandia nililokuwa namwambia zamani tulipokuwa tunaonana viwanja. Hiyo ilianza kuniharibia maana hapa majirani wengine wananifahamu kwa jina langu halisi. Nikaanza kuhisi watu wakinisikia nina majina mawili watanihisi vibaya, nikamwomba asitumie hilo jina bandia, akagoma akadai ataniita hivyo kila siku ati ndivyo alivyonizoea!
Na pia nilishamwambia kuwa nilishaacha tabia ya kuchukua dada poa, lakini yeye pia akanijia juu: ''...kwani mimi ndio unaniona malaya sasa? Kama mimi malaya na wewe pia malaya..!" sasa kila nikiona maongezi yanazidi kuwa marefu huwa nampa hela aondoke watu wengine wasitukute tukiongelea mambo hayo.
Sijui niwaelezeje undani wa embarrassment ninayopata, lakini mwenzenu nasumbuka vibaya.
Wanawake pia wapo tofauti,wengine hawa mind kujua ukweli
ili mradi ilikuwa zamani kabla hujakutana nae...
bubu huoni kuwa ukimtangaza huyo dada kuwa alikuwa
ni changudoa ndo itasaidia kumuumbua na aibu itampata...
Na pia ukimweleza mkeo kuwa uliwahi kununua huduma zake
zamani kabla hujampata yeye......itasaidia kumfanya
ajue kuwa zamani ulikuwa hujatulia lakini sasa umetulia..
pole sana,huyo dada kashagundua wewe uko weak...
We siku moja mkaribishe ndani
halafu mshushie vibao vya nguvu.....
Ikiwezekana na mikanda umcharaze....
Utakuwa umemaliza kesi.....
Kuwa strong.....
Wewe acha ubwege wewe,hakuna aibu kwa mwanaume kuchukua dada poa,
aibu kama wewe ungekuwa unajiuza na kulambwa.....
Wewe mwambie hutaki akaseme popote.....
Mwambie mkeo huyo dada ni cd uliwahi kununua huduma zake zamani,
ukiendelea kumlipa basi kuna siri nyingine labda na sio huyo ya kununua
huduma.....
Mkuu Boss nakubaliana nawe huyu njemba kumbe bado ni single hivyo anaweza kabisa kusema kwamba aliwahi kununua bidhaa hiyo na sasa ameachana na tabia hizo, lakini yeye na mke mtarajiwa inabidi wakapime ili kuhakikisha wote wako salama.