JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Oct 10, 2011 #1 Haya wandugu, wale mnaotumia kifaa hiki cha mawasiliano hususan kwa sie wa BBM ni kwamba tokea asubuhiya leo kumekuwa hakuna mawasiliano ya internet...hii ni kwa sababu server yao imekuwa down lakini wanashughulikia kutatua tatizo hili. Taarifa zaidi dumbukia humu: Millions of BlackBerry users hit by outage - Yahoo!.
Haya wandugu, wale mnaotumia kifaa hiki cha mawasiliano hususan kwa sie wa BBM ni kwamba tokea asubuhiya leo kumekuwa hakuna mawasiliano ya internet...hii ni kwa sababu server yao imekuwa down lakini wanashughulikia kutatua tatizo hili. Taarifa zaidi dumbukia humu: Millions of BlackBerry users hit by outage - Yahoo!.