Wandugu nimeuziwa BB Storm 9530 cha ajabu nimeweka bundle kwaajili ya intaneti web browser ya mtandao nilioweka haitokei,kwa hiyo kushindwa kushadidia(kuupata mtandao) intaneti nimejaribu kushusha Blackberry Desktop Manager lakini nimeshindwa.kwa aliye nguli wa BB naomba anisajidie jinsi ya kufanya pia kama unayo BDM naomba uteremshe hapa ili nipakue,asante waungwana
Nilinua Blackberry plan ya kuanzia kutoka Tigo ambayo ni Tsh 4500 yaani nilituma nenoBB3 kweda 15518 na ikaja msg inayosema ingia kwenye MENU-OPTIONs-ADVANCED OPTIONS-HOST ROUTING TABLE,BONYEZA MENU BUTTON-REGISTER NOW halafu zima na uwashe baada ya dk 5 lakini wapi hakuna kitu"Bundle" hazifanyi kazi katika BlackBerry. Inabidi ulipie BlackBerry plan, voda ni 6000 kwa wiki au 17,500 kwa mwezi Vodacom Portal
Nilinua Blackberry plan ya kuanzia kutoka Tigo ambayo ni Tsh 4500 yaani nilituma nenoBB3 kweda 15518 na ikaja msg inayosema ingia kwenye MENU-OPTIONs-ADVANCED OPTIONS-HOST ROUTING TABLE,BONYEZA MENU BUTTON-REGISTER NOW halafu zima na uwashe baada ya dk 5 lakini wapi hakuna kitu
Kang nakushukuru sana ngoja nijaribu tenaSipo familiar na hiyo plan ya Tigo na nikiangalia website yao hakuna hiyo ya 4500, ya 7,000 ndo ya kwanza (BB7) labda hawajaupdate website, anyway itabidi uonane na Customer Care maana inaonekana ni tatizo upande wao, au jaribu kurudia hiyo process ya kuregister na kuzima ila chomoa na battery kabisa ukishazima kisha subiri hizo 5 min, maana hiyo ndo dawa ya matatizo ya BB, kuchomoa battery.
Pia jaribu hii ya ku resend service book. KB15402-How to send service books using the email setup application on the BlackBerry smartphone
Ndugu Deo asante sana kwa ushauri na muda wako nitafanya kama ulivosema na nikifanikiwa nitarudi kutoa thx zangu tena kwako na wengineo waliochangia utaalamu waoDownload os ufanye update itarudi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nimejaribu kufanya hivyo lakini imebuma,lakini baado nashukuru kwa ushauri baado nazidi kujaribu njia mbalimbali kutoka kwa wana JF wanaotoa ushauri,nashukuru nikifanikiwa nitarudi tena kutoa habariumenunua kifurushi cha BB Au bundle zngne? Lipia BB services nenda kwenye advanced option fanya settings ita depend unatumia mtandao gan ukimaliza edge pale juu ina change inakua EDGE
Hakuna njia halali itakayo kuwezesha kupata browser kwenye BB yako hiyo mkuu.... hata ujiunge na BES haitakubali push bb browser kuja kwenye simu yako hii.Nimejaribu kufanya hivyo lakini imebuma,lakini baado nashukuru kwa ushauri baado nazidi kujaribu njia mbalimbali kutoka kwa wana JF wanaotoa ushauri,nashukuru nikifanikiwa nitarudi tena kutoa habari
Mkuu, kwanza nikupe pole, Huwezi kutumia BB yako kupata service ya BB data plan, kwani hiyo inatumia mfumo wa CDMA japo kua pia inafanya kazi kwa mitandao ya GSM.... Bila shaka Storm yako itakuwa imetoka Kampuni ya Verizon..... Na kushauri kama unaweza kuuza hiyo simu fanya hivyo haraka kabla aijaanza kusumbua touch screen yake.
Labda kama utapenda kuendelea kuwa nayo unaweza kuichakachua na kuitumia kwenye internet ila BBM haitafanya kazi.
Sio sahihi, Storm 9530 inasupport both CDMA na GSM.
Kutimika kwenye mtandao wa Verizon sio tatizo, ni world phone unaweza kutumia mtandao wowote bila kujali ilitumika wapi originally, ili mradi simu iwe unlocked na kama anaitumia bongo maana yake iko unlocked. Hiyo short code ni ya nini? na ina ulazima gani kupata service?Kama umesoma post yangu vizuri hakuna sehemu niliyosema hai-support GSM... Ni kwamba hii simu ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa CDMA Verizon.. Na ndio maana huwezi tumia short code ya *102# ...
Kutimika kwenye mtandao wa Verizon sio tatizo, ni world phone unaweza kutumia mtandao wowote bila kujali ilitumika wapi originally, ili mradi simu iwe unlocked na kama anaitumia bongo maana yake iko unlocked. Hiyo short code ni ya nini? na ina ulazima gani kupata service?
Mkuu hakuna haja ya kuzunguka sana. Kama simu hiyo ni Verizon au Sprint there is no way you can use BIS plan.
Kutimika kwenye mtandao wa Verizon sio tatizo, ni world phone unaweza kutumia mtandao wowote bila kujali ilitumika wapi originally, ili mradi simu iwe unlocked na kama anaitumia bongo maana yake iko unlocked. Hiyo short code ni ya nini? na ina ulazima gani kupata service?
Personally nshatumia BB tatu za verizon na zote BIS ilikuwa inawork msimkatishe jamaa moyo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu unaweza kutuambia model zake? Zilikuwa zina support both technology cdma na GSM? Kama ilivyo bb 8830WE (World Edition) na Storm 9530 zote hizo na uhakika haziwezi kufanya kazi hapa Bongo kwa upande wa Data plan.