Herufi kama zipi mkuu,toa mfano,jaribu kuelezea kiundani zaidi yaani e.g ukitype herufi D inatokea 5. Muhim kuwa specific cause some problems might be minor n not major!
Kwanini Blackberry zingine especially storm zina tatizo la kutype baadhi ya herufi? na ufumbuzi wake ukoje?
Sure,elezea kiundani zaidi,vilevile waweza download opera mini kupitia desktop then uka install kwenye simu yako,hii inahelp bb nyingi zisizo na service books za internet browser.TAJA AINA YA BB YAKO NA TATIZO LAKE KWA UNDANI ZAIDI.:glasses-nerdy:
wanajamvi habarini..
Jamani hizi simu za blackberry naona zinanitesa mno,.. naomba kama kuna namna naweza fanya nikapunguza mateso haya tusaidiane pliz..
inanigomea kwenye internet kila nikijaribu kuingia inadai codes...now najiuliza is it locked? and if it is locked, kuna uwezekano wowote wa kui unlock? naomba mnifahamishe pliz nini cha kufanya.
Thanks in advance wakuu
Hazina tatizo? Mi tatizo la BB linalonikera ni Charge! Battery haikai kabisa! withi masaa sita ya kubrowse kitu kina kata Charge! imebidi ninunue BB mbili ili maisha yawe murua cuz siwezi ishi bila BBHilo ndio tatizo la kununua simu za kuletwa mitaani. Kanunue mpya, natumia BB (aina tofauti) zaidi ya miaka miwili sasa, na swaaafi hazina tatizo.
nami nina tatizo hilo yangu ni 9530 strom nitashukuru kwa msaada wako
mimi nina bold 9700 natumia line ya tigo nikipigiwa kuna wakati tunakuwa hatusikilizani wa upande wapili anasema anasikia simu inakoroma sasa sielewi tatizo ni simu au ni mtandao wa tigo ??pse help
kaka BB storm buure kabisa zinastuck unapo type kwenye screen,ukiona inaanza hivyo jua iko karibu kupelekwa Muhimbili ICU,jiandae kutafuta ingine,katika BB mi nahusu sana Bold ni jembe kaka mwanzo na mwisho though masharobaro hawaipendi eti ni fremu ya picha ,hawezi kuweka kwente vi jeans vyao vya kuvulia vitandaniKwanini Blackberry zingine especially storm zina tatizo la kutype baadhi ya herufi? na ufumbuzi wake ukoje?