Blackberry Min Q5 9720 inauzwa

Blackberry Min Q5 9720 inauzwa

Cheguevara Jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
128
Iko ktk hali nzur kabisa,imetumika miezi 2 tuu,inauzwa 270000 tuu,kama uko DAr unaweza kunitafuta kwa nambaa hii 0764706537
 
Kwanini watu wengine wanapenda kuwazibia watu riziki zao? Aliye anzisha thread anataka kuuza simu yake ya Blackberry; mtu mwingine anachomekea, eti naye anauza Samsung galaxy! Kwanini usianzishe thread yako inayojitegemea? Watu wengine bwana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom