Wadau mimi naishi arusha na nahitaji simu tajwa hapo juu au simu yenye uwezo wa kufungua pdf na skype na iliyoke efficient kwenye internet. Nina shs 200,000 cash.tuma text kwa 0713704914 au ni pm.
Una hakika sio ya kichina. Za kichina huwa zina stuck katikati ya operation na features nyingine huwa hazifanyi kazi. Kama ni orginal tunaweza kuongea ( ni ya nchi gani?)
Wapendwa nashukuru kwa nia njema ya kutaka kunisaidia. Mimi sizifaham sana simu, mimi nahitaji iliyoko fast kwenye internet na inayo weza kudownload skype na kuitumiakwa kuchat pamoja nakufungua pdf na excel sheet. Wasi wasi wangu ni kuwa simu mlizonitajia hapo zitafanya hizo kazi? Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.