Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
- Thread starter
-
- #41
plesana mpita njia nimechafua thread yako.lakini tunawajibika tukiona mtu anawapotosha watu tuelimishane
Tofautisha messengers kama MSN, YAHOO, AOL, ICQ na nyinginezo. Ila blackberry ina mssenger yake inaitwa blackberry messenger. Dr usnitie aibu bwana Nikia haina nokia messenger na wala haina PIN hali kadhalika samsung.
Amekusikia na wewe nitumie Nokia PIN yako tuchat kwa Nokia Messenger.
Bado naendelea kufuatilia. hata haya yanayojadiliwa yananinufaisha kwa sababu ukiachilia mbali internet kwenye simu, lakini pia kina applications nyingi na vikorokoro vingine ambavyo mi sivijui... hivyo ninyi wajuvi mnapobadiloshana mawazo namna hii na sisi maamuma tunapata uelewa kidogo.
So, msiwe na hofu, endeleeni kudadavua
Zing kiwi kisicho eleweka?.Jamani tujenge utamaduni wa kukubali kukosolewa na kukosoana La sivyo hata uko kwenye siasa mtawashangaa kina JK kumbe hata sisi tunaowakosoa tuko hivyo hivyo.
Zing kiwi kisicho eleweka?.
1.Nimesema mara kibao mimi sio ngwini wa mobile tech
2.Natumia Samsung Smart phone yenye 1ghz procesor inayotumia Android kupitia voda kwa chanel ya BB net yake iko faster kama ulaya yaani uki bonya ni hapo hapo inafungua hivyo una fungua utube na kuona online tv in real time.
3.Nikasema natumia Samsung wave video yake ni HD nilikuwa sijaona HD kwenye simu nyingine mpaka leo nilipo sikia na Nokia wapo.
Kwenye hizo hoja za msingi, je uwongo wangu ni upi?.............
Hivi unaelewa mambo unayoyazumgumza aua unadhani ukokwenye siasa hapa
eti samsumsung pekee ndio ina HD .Tafuta kwenye kamusi yako maana ya HD alafu ndio ueleze mambo ya kitaalamu . Zipo simu nyingi tu zina HD. kama ulinunua samusung kwa matangazo kuwa wao ndio wana HD pekee basi wewe ni uliingizwa choo cha kike
Na hii 1ghz internet speed iko nchi gani vile tena kwenye mobile . mhhhh .You must be joking. Kwa ADSL broadband yenyewe sidhani kama ulaya kuna nchi inayo speed hiyo. In short Umedangaya.
Tafuta , soma na uelewe maana ya 4G. ulienda ulaya nchi gani tutafute kwenye net tuone kama hiyo 4g ina 1gz. na uwe mkweli .
Mimi sijui HG wala 1ghz ila blackberry bold yangu napata shida sana kupata MSN, kwa ufupi ni kwamba imekataa kwa hivyo siwezi kudownload hotmail messages na kuzisoma. Ila ile version ya nyuma ya bb nilikuwa naweza kusoma. Niko kwenye Airtel.
Na hizo HD na utaalamu gani munaozungumzia, jamaa yangu anayo iphone 4G na inakimbia hiyo kwenye you tube na kila kitu. Yeye yuko Ztel
SAMAHANI MIMI NI MBUMBUMBU mtumiaji wa halo halo ijapokuwa ningependa angalau kuweza kudownload hizo messages
Binti mkongwe ni HIvi
unaweza kuwa nahata simu ya Nokia samsung 5G kama zipo lakini hakuna Provider anayeta huduma katika 4G kwa sasa. Labda USA sehemu chach e. Telephone Service Provider wengi bado wanatumia 3G tena usishgae kwa Tanzania baadhi ya service tunazopata kutoka kwa makampuni ya simu ni za kiwango cha 2G.
Usifuate au kununua msamiati bila kujua una maanisha nini. Kwa hiyo ukiwa na Iphone 4G na mwenye Nokia 2600 ambayo ni 3G kama provider wenu nim mkuu kumbe ww uelewa wako ni mdogo kumbe kumbe ujaelewa maana ya 2g, 3g na 4g pole kwa hilo mkuu
Je ndivyo ilivyo??? fanya rescherch kesho udowload kafile kadogo ukiwa kwenye safari.unakwenda kazini kwako.Data Rates
provide higher transmission rates: a minimum data rate of 2 Mbit/s for stationary or walking users, and 384 kbit/s in a moving vehicle,
Applications
- Mobile TV a provider redirects a TV channel directly to the subscriber's phone where it can be watched.
- Video on demand a provider sends a movie to the subscriber's phone.
- Video conferencing subscribers can see as well as talk to each other.
- Tele-medicine a medical provider monitors or provides advice to the potentially isolated subscriber.
- Location-based services a provider sends localized weather or traffic conditions to the phone, or the phone allows the subscriber to find nearby businesses or friends.
Achani kuzogoa. blackberry ki2 gani?
Asanten nimeelimika pia humu kama vipi tuwasiliane kwa ukaribu na pin hii
255f70f3
Bado naendelea kufuatilia. hata haya yanayojadiliwa yananinufaisha kwa sababu ukiachilia mbali internet kwenye simu, lakini pia kina applications nyingi na vikorokoro vingine ambavyo mi sivijui... hivyo ninyi wajuvi mnapobadiloshana mawazo namna hii na sisi maamuma tunapata uelewa kidogo.
So, msiwe na hofu, endeleeni kudadavua
Binti mkongwe ni HIvi
unaweza kuwa nahata simu ya Nokia samsung 5G kama zipo lakini hakuna Provider anayeta huduma katika 4G kwa sasa. Labda USA sehemu chach e. Telephone Service Provider wengi bado wanatumia 3G tena usishgae kwa Tanzania baadhi ya service tunazopata kutoka kwa makampuni ya simu ni za kiwango cha 2G.
Usifuate au kununua msamiati bila kujua una maanisha nini. Kwa hiyo ukiwa na Iphone 4G na mwenye Nokia 2600 ambayo ni 3G kama provider wenu ni anatoa huduma katika 2G ni kazi bure. hamtafaidi chochote kulinga na uwezo wa simu zenu mtapata huduma za 2G tu.
Yaaani ni sawa kununua marcedes benz kutumia kuktia majani ya ng'ombe
Senkyu mkuu kweli matunda yanalipa yangu ni 21C37B69