Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,259
- 111,228
Waungwana natumaini wote mko shwari,
Nina simu yangu Blackberry tourch 9800, nilikuwa somewhere kwenye vaccation na kwa bahati mbaya picha zote nilizochukuwa kama memory nilipiga kwa kutumia simu yangu.
sasa basi juzi wakati nataka kutoa sim lock ili nipige password ikawa inakataa kuverify nilijaribu mara nyingi baadaye ikaja option kama ya kujirestart ndipo simu ikajirestart na ikaja na sura nyingine na karibu settings zangu zote zikawa zimebadilika ikiwemo ringer tone.
sasa kinachoniacha mimi hoi picha zilizofutika ni zile tu ambazo nilizipiga nikiwa safarini, lakini zile picha za zamani zote zimebaki.
kwahiyo hapa naomba mautundu kama kuna namna yoyote naweza kupata msaada kama kuna backup ya photo inawezekana? maana mimi sikuzidelete bali ni lisimu lenyewe limeamuwa kunionesha The world wonders.
Huu ni ukweli mchungu na unaniuma kweli kweli, kwahiyo hata upande wa blackberry protect kwenye option za backup hakuna namna yoyote ya kuweza kuzipata hizi picha?Ukikosea password mara nyingi BlackBerry inajifuta hivo ndo ilivyotengenezwa, inafuta memory ya simu lakini sd card haifuti, so picha za zamani zitakuwa kwenye sd na mpya zilikuwa kwenye internal memory. Kwa kifupi hizo picha zimeenda maana bb inafanya secure erase hakuna uwezekano wa kuziokoa.
Hapana kiongozi, tena nimejaribu kuitowa card na kuingia kwenye picture hamna kitu, ila nikirudisha card ndio zile za zamani zinaonekana kwahiyo ziko saved kwenye card, tatizo langu kubwa simu sikuiseti picha ziingie kwenye card maana space yake siyo kubwa.Ulifanya backup wakati picha zipo kwenye simu? Kama ulifanya basi zinaweza kuwepo kwenye backup.
Ni kweli life is not fair some time & no body who feel ur pain.mkuu matola pole sana mm ilinitokea na nilikuwa nimebackup kwa bb protecter lakini nilipokuja kurudisha picha ckupata kabisa mpk leo kubali yaishe mkuu
Yaani angalau niliziupload picha 6 facebook out of 40 pics. ila nimewadissapoint sana marafiki zangu inauma sana nilikuwa naiamini camera yangu ya BB maana ni 5.0 MP auto focus, kumbe bila settings is too risk!!Kama picha zilikuwa saved kwenye divice na hukufanya backup, imekula kwako mkuu, no way out
Nokia kitochi ninayo na Blackberry ninayo na inayo tochi vilevile, ila nimeipenda kwa sababu ni zaidi ya simu na hasa ni kwa ajili ya matumizi yangu ya mobile Internet, huwa sipendi kusafiri na Laptop kupunguza mizigo isiyokuwa na sababu.pole ndugu yangu bali nunua simu ya tochi haiko complicated