blackberry curve 8520 for sale at 180,000 only

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nauza Blackberry curve 8520 kwa bei ya 180,000 tu. Simu imetumika na iko katika hali nzuri sana. Haina scratches. Camera tu ndio haifanyi kazi. Kwa mawasiliano, piga namba 0714881500.
BEI HAIPUNGUI
Nipo dar.
 
Kwa bei hyo utahangaika sana kupata mteja na huo ubovu wa camera coz sasa solo la curve limeshuka sana,mie ninazo nauza mpaka 150000 tsh na iko poa na all accesories
 
Kwa bei hyo utahangaika sana kupata mteja na huo ubovu wa camera coz sasa solo la curve limeshuka sana,mie ninazo nauza mpaka 150000 tsh na iko poa na all accesories

Nimeshauza bei hiyo hiyo elekezi. Camera ya curve ni 2mpx, kwa mtu mwenye digital camera ya 10mpx na kuendelea hili sio tatizo kubwa. Inategemea na matumizi. Soko likishuka komaa tu na bei, unless ukiuza 150 stil inakulipa. Simu haziozi, japo kila siku zinatoka mpya, lakini still kuna wasioafford bold na torch za laki tano na wanahitaji bb.
 
Kwa bei hyo utahangaika sana kupata mteja na huo ubovu wa camera co sasa solo la.. curve limeshuka sana,mie ninazo nauza mpaka 150000 tsh na iko poa na all accesories

Upo wap tufanye business
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom