BlackBerry 9800

Shubiri

Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
23
Reaction score
9
Habari wakuu,

Ndugu zangu nina simu yangu aina ya BlackBerry 9800 ambayo nilisafiri kidogo nikaiacha bila kuchomoa betri. Niliporudi nimeikuta simu haiwaki wala haichaji zaidi unawaka taa nyekundu bila kuzima pindi utapoiwasha au kuichomeka kwenye umeme.

Naomba msaada.

Asante.
 

imekufa hiyo mkuu redlight virus ndo ubaya wa blackberry tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…