Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 618
Wadau.
Hope mko sawa! mnaendelea kulitumikia taifa letu zuri
Nahitaji 4 BB curve or bold.. kama unahuzo au wamjua dealer nicheck kwa benson.mugashe@gmail.com
sasa ukiporomoshewa mitusi utaanza kulaumu watu maana unaadnika vitu hata hueleweki...aaagh
sasa ukiporomoshewa mitusi utaanza kulaumu watu maana unaadnika vitu hata hueleweki...aaagh
Hivi huyu bwana bado yumo humu? maana aliniuzia BB curve haijamaliza hata miezi miwili, imekufa!mtafute matty yupo humuhumu jf,utapata hata ukitaka kumi orijino
Hivi huyu bwana bado yumo humu? maana aliniuzia BB curve haijamaliza hata miezi miwili, imekufa!
unaadnika
Duu huyu mat ni balaa simu zake si kabisa...yangu hata haikumaliza week ikawa written off...lo sikushauri..

ndugu yangu naamini kama kweli nilikuuzia simu na ikakusumbua lazma ungenitafta unijulishe but so far sijaskia any complain kwa any of my customer kwamba nimemuuzia simu ukakufa ,na ndio inawezekana nikawa kweli nimekkuzia lakini ikawa umeiua mwenyewe ndio maana hujaona haja ya kunitafta zaidi ya kunishutumu hapa.