FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Black is sweet! pretty, beautiful and attractive! finito!!
Sasa na ile mokorogo ya nini, na zile nywele za maiti? au huyaoni hayo?
Black is sweet! pretty, beautiful and attractive! finito!!
Hiyo picha yako mbona inaonesha nywele si za mtu mweusi? ilikuwaje?
Unachokataa ni nini? wakati tunaona mikorogo ya kutufanya tuwe weupe ili tuwe "attractive". Sijaona mkorogo wa kuwafanya weupe wawe weusi.
Umesahau mawigi..
Kuna haja ya waafrika kujipenda na kujithamini kama walivyo..
Kuna watu wanajipiga 'bleach'...kutafuta weupe!
Lakini nahisi wanawake wa-kiafrika wakibaki kuwa 'natural' wanapendeza tu.. Urembo kiasi
Black women hawako naturally attractive, ndio maana kwenye mashindano ya uzuri wanalazimika kujikondesha kufanana na urembo wa wembamba wa mzungu. Ndio maana wanawake weusi, hata awe na umaarufu kiasi gani, wanavaa manywele ya kizungu na kujichubua ili wavutie vutie angalau.
Kama Beyonce.
Unless kama huwajui na haujawahi kuishi nao, wakati wa winter huwa wanakuwa weupe sana (mara nyingi wana complain, I'm so white) na huwa hawaupendi ule weupe wa winter. Ikija spring huwa wanaanza kutafuta sehemu za kufanya sun tanning na wakati wa summer ndo hukesha kwenye jua mpaka wanababuka.
Kwahiyo mkologo wao upo ila wa huuita tanning
Ni kweli wanawake wetu huwa hawajiamini hii inatokana na kutokujitambua na pia inachangiwa na historia ya ukoloni. Hawa wenzetu waliweza kusambaza utamaduni wao kwenye sinema, magazeti n.k na kutuaminisha kuwa uzungu ni bora. kwahiyo watoto wa kike tangu wakiwa wadogo wamekuwa conditioned kuwa, uzuri ni uweupe au kuwa na nywele za kulala ndiyo maendeleo.
Hata hivyo na wao pia wana hiyo tabia ya kutokujiamini, mfano wengi wao makalio yao ni bapa na huwa hawapendi kwahiyo wasichana wengi wakizungu huvaa suruali zilizokuwa 'modified' kutunisha makalio.
Kwa wale wa Hollywood huwa wanajipiga sindano ili kutunusha makalio.
Pia unaelewa chanzo cha kuwa na 'high hills?
Sababu ni kubinjua makalio, hii shepu ya kubinjuka kwa nyuma wanawake wengi wa kiafrika wanayo ila kwa wazungu ni nadra sana, ndiyo maana wakatengeneza hivyo vimchuchumio. Kwahiyo hata wao pia wanajaribu kuwa na muonekano wa maumbile yetu sema tu huwa hawasemi hivyo.
Ni wajibu wetu pia kufanya tafiti kama zao ili tuwaoneshe upande mwingine ya shilingi. kwa kuhitimisha tuu niseme, binadamu wote ni sawa na tofauti zetu ni utukufu wa Muumba wetu.
no she is not, Matata nae, kama wengine, amejitahidi kujikondesha ku mesh na sex symbol ya uzuri wa mzungu.No mie napingana na wewe, wapo wanawake weusi wengi tu maarufu wanaojiamini na uzuri wao wa kiafrica, kwa kuanzia mcheki huyu kiumbe Flaviana Matata, is'nt she pretty and attractive??
Tanning ni mkologo tuu labda kama umekariri kuwa mkorogo lazima uwe kama wa kiswazSasa sun tanning ndio mkorogo? unanchekesha.
Hiyo haita wezekana kwasababu hata mwafrika mweusi tii kamwe hawezi kuwa kama mzungu hata kama akitumia mapipa ya mikologo.Na hata ajitan vipi hawi kama sisi babu wee, unanini?
Unaona sasa unalivyo kariri... nani kakwambia wazungu hawapendi nice tight butt? Wewe unajua kwanini butt injection ni popular kwa wa magharibi? Unafikiri ni kwanini pia wanafanya lip injection? Unafikiri big lips ni features za kizungu? You seem to be out of touch and have no clue of what you're talking about.Makalio si sisi huku tuna-mentally ya kuyapenda na tusiokuwa nayo tunayanunuwa ya kwa
Babu wee, ukweli ni ukweli tu. Wewe kama mtu wa kwenda ma outing naomba wahesabu ni wanawake wangapi waliojikoroga na wangapi wana nywele sio za asili. Halfu uje hapa tubishane. Khaa, unabisha vitu ambavyo vipo wazi kabisa?
Tanning ni mkologo tuu labda kama umekariri kuwa mkorogo lazima uwe kama wa kiswaz
Hiyo haita wezekana kwasababu hata mwafrika mweusi tii kamwe hawezi kuwa kama mzungu hata kama akitumia mapipa ya mikologo.
Unaona sasa unalivyo kariri... nani kakwambia wazungu hawapendi nice tight butt? Wewe unajua kwanini butt injection ni popular kwa wa magharibi? Unafikiri ni kwanini pia wanafanya lip injection? Unafikiri big lips ni features za kizungu? You seem to be out of touch and have no clue of what you're talking about.
Tofauti yao na wanawake wetu ni kwamba process zao za kuiba qualities za races nyingine zimefanyiwa research na zipo sceintific zaidi.
Samahani sina muda huo.
Nimekuwekea mapicha juu hapo kibao. Na wewe niwekee ya wazungu wanaojitan wakawa kama waafrika. Khaa,
Sikubaliani na hii Michelle.
hata attractiveness, kwa ngozi nyeusi iko juu zaidi ya ngozi nyeupe. unaona hata mivao yao? utakuta mdada mweupe kavaa ovyo lakini akapita hapo wala watu wasitetemeke, check hiyo nguo ivaliwe na mdada mweusi, kila mtu anageuka.
Ona wenzako wanavyo itafuta (malenin) kwa nguvu (electric tanning)
View attachment 30443
Ona mwenyewe jinsi wanavyo hangaika kuwa na big butt- Round butt ni feature ya kiafrika
MAKE BUTT LOOK BIG BIGGER UNDERWEAR PANTY HOT AND SEXY On Ebay
View attachment 30447
Lip injections - kama ulikua hujui big lips ni features za kiafrika
View attachment 30449
Najaribu kukuelewesha kuwa hata hao wazungu unao wababaikia wanapenda kuwa na features za kiafrika yaani Big butt, big lips na malenin.
Somehow this is True....we are less attractive but we are so very beautiful than white women.
attraction and beauty are two different things!!