The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Black pope ama muite papa kivuli ndiye kiongozi mwenye mamlaka ya juu kuzidi kiongozi yeyote Duniani kupitia jamii ya Siri iitwayo Jesuit
"the superior general of the society of Jesus is the leader of the society of Jesus, the Catholic religious order also known as the jesuits" kwanini aonekane ni kiongozi wa jamii ya Yesu lakini awe kiongozi wa Dunia?
🗣️ARTURO MARCELINO SOSA ABASCAL ni member wa JE-SUIT Society ambayo ipo chini ya Roman catholic, vatican city, Arturo Marcelino ndiye kiongozi wa juu kimamlaka kumzidi yeyote hata papa unayemjua ni kibaraka wake.
Jesuit ndio members wakubwa dunian ambapo zile familia 13 bora zinazotawala dunia katika nyanja zote kiuchumi,kielimu,kisiasa na hali yoyote ile ambayo wewe mwanadamu wa kawaida ni ngumu au ni vigumu kujua(hizi familia 13 zote ni member wa Jesuit ntazielezea siku moja....
👉Mwanzilishi wa Jesuit wao humuita baba/father IGNATUS OF LOYOLA ambae ni mwanzilishi wa shirika hili ambalo lipo chini ya roman catholic church nchini vatican.kila nchi yenye kanisa katoriki lazima iwe na shule inayoitwa Loyola, hapa Tanzania tuna Loyola high school ipo Kigogo mkoani Dar Es Salaam.
Lengo kubwa la jesuit nje ya box ni kuhimiza upendo unaoambatana na malezi bora katka misingi ya huruma na utu wa mwanadamu lakini kiukweli ndani ya box ni shirika linaloongoza duniani kutoa misaada mingi sana duniani kote kwan hawa ndio wanaosponsor shule zote ikiwemo institute kubwa kubwa pamoja na university (vyuo vikuu) na vyuo(collage ) kubwa duniani kutoa elimu bora ili kuandaaa watu wanaoitwa ellite group watakaokuja kuiongoza dunia kwa misingi na kanuni za JESUIT FATHERS.
👉Ignatius loyola alianza kuliongoza kundi hili la jesuit fathers mwaka 1544 ambapo ndio alianza kulitumikia chini ya illuminant conspirancy ambao misingi yao yote ni kutaka kuiongoza dunia kwa mamlaka ya kanisa katoliki iloyojaaa upendo wa kinafiki lakini misingi yao mikubwa ni kuunda mfumo wa dini moja ulimwenguni under one government ili kukamilisha mpango wa new world order,Lakin baadae kiongozi huyu mwanzilishi wa jesuit alifariki dunia na kuacha mikoba kwa Diego laynez badae huyu akalisisha mikoba hadi kwa Francis Borgia,
Ilipofika mwaka 2016 alichaguliwa black pope mwingine ambae ndio hivi leo tunamuita Arturo Marcelino ambae anachaguliwa na balaza la watu wenye upeo mkubwa fremasonry and illuminant members ambao hawa ndio wanampitisha kuwa kiongozi wa jesuit fathers ambaye huyo ni mtawala mkubwa duniani japo ni kwa siri kubwa sana ila ana wakilishwa na THE WHITE POPE (papa mweupe unayemjua ndio Siri ya kila anaekutana na papa lazima asivae nguo nyeupe kulingana nae)ambae ndio kwa sasa pope Francis wa 16..
Loyola anakuambia hivi👇
"The grand rule for an inferior readily to declare his assent and consent to his superior in active obidience when he says , the snow is Black or the Crow is WHITE .... We should always be ready to accept this principle;I will believe that the WHITE that I see BLACK , if the hierarchical church defines it as such"(Ignatius De Loyola;the spirit Exercise of St Ignatius p. g. 141)
Tafasiri isiyorasimi anasema
" Kanuni kuu kwa mshiriki wa kanisa inamtaka kutoa ukubaki wake kwa mkuu wake Katika utii kwa vitendo anapoambiwa, barafu Ina rangi Nyeusi na wewe ni Mweupe kabisa... Tunapaswa kuwa tayari kukubaliana na kanuni hii... Nitaamini kwamba rangi Nyeupe ninayoiona kuwa ni rangi Nyeusi, Kama kanisa litatafasiri hivyo..
Ieleweke tafasiri ya rangi Nyeupe ni ukweli na Nyeusi ni uongo, hivyo Loyola anamaanisha hata Kama wewe Kama mshirika unaujua ukweli unapaswa kuukubali uongo Kama viongozi wako wa dini watautafasiri ni kweli.
👉The white pope amevaa kazi ya the black pope ambae ndio wenye sauti kubwa dunian ..amevaaa nafasi hiyo ili kuficha ubaya na ukatili wa utendaji kazi wa the black pope
,Anamwakilisha katika mikataba ya kishetani yenye Siri nzito Katika kutimiza utawala wa kidhetani Katika dunia(hakuna kiumbe aitwaye shetani Bali ni ubaya )
Wana utaratibu wa jinsi anavochaguliwa huyu black pope ikitokea kuna mmoja wapo kama ametoweka duniani au amefariki dunia..na ukishachaguliwa kuna kiapo cha siri ambacho hakika utapaswa kuapa juu ya siri nzito iliyopo dhidi ya utawala wa kishetani/kishenzi(leo sitaweka hicho kiapo )
👉Jesuit fathers ambao ndio wanaomiliki benki zote duniani(kimifumo) na mashirika yote ya misaada duniani likiwemo WHO,UNESCO,UN na hata taasisi zote kubwa duniani ukiachilia mbali na nchini zinapotokea au kube owned, wanamiliki migodi, Afya (madawa) ,vyombo vya habari na mitaala ya mashuleni ni maliyao, ndiomaana UNESCO wanaitaja Vatican Kama hazina kuu ya dunia.
👉Jesuit fathers wanasamba nguvu ya kishetani/kishenzi katika nchi mbali mbali duniani kote ikiwa ni kwa siri kubwa ili watu wasitambue nia yao kubwa ni nini na lengo kubwa ni nini,hii huitwa serikali kivuli(shadow government)...ndio maana jaribu kujiuliza kwanini shule zote za dini ya roman catholic namaanisha seminari zina sheria kali sana yaani ukifanya kosa dogo tu yani huwa hakuna msamaha ni kufukuzwa shuleni mara moja tena unafukuzwa kama nyani uliekosa mahali lakini ukitazama ndio hao hao wanaohimiza upendo oohooo tupendane na msamehe 7 mara 70, kwanin wao waroma au utawala wa kirumi unapofanya kosa unaondolewa mara moja?.
Yan hii yote ni kutaka kubakiza idadi ndogo ya watu ambayo itakuwa ni ELLITE (LITERATE)kias kwamba ndio itakuja kuwacontrol large number of people ambao ni ILLITERATE Yani fanya wachache wenye ufikiri wa juu mno KUTAWALA IDADI kubwa ya watu ndio Maana mapadri wana falisafa kali sana uwezi ukabishananao w atakushinda tu kwani wame be trained to roll up and control group of people
Black Pope(papa kivuli) Arturo Marcelino, Superior General of the Society of Jesus Diabolical Plan for a New World Order.👇👇
▪️ Arturo Marcelino na majemedari wake 6 humuongoza “White Pope” Papa Fransis na Vatican kwa ujumla
▪️Illuminati, Zionists,globalist Elites, Council on Foreign Relations, Bilderberg group, Freemasons, Council of 300 and the evil Council of Trent Hawa wote wapo chini yao
▪️The Jesuits control the Knights Templar, Knights of Columbus and the Knights of Malta.
▪️The CIA, FBI, NSA, ASIO, MI5, MI6, NCIS, FSB, DGSE, Mossad and every intelligence agency in the world are masonic and controlled by the Jesuits.
▪️The Jesuits have infiltrated all governments & Leaders are only puppets that carry out Jesuit orders
👉Hakika huyu the black pope pamoja na jesuit fathers ndio wanaopanga nani awe kiongozi wa dunia sehem flani..
Wanaweza wakapanga mfano kati ya Donald trump na Hillary clinton nani awe mtawala wa marekani na haitapingika kwani wanahitaji mtu ambae atajivisha ngozi ya kondoo ili aendeshe kwa misingi ya kishetani ili kupisha pembe ndogo kuitawala dunia kwa njia ya kiiluminant na freemasonry, hapa trump kilichomtoa madarakani ni kuropoka yakuwa Area51 ni kweli kulikuwa na Alliens Ila waliwafukuza miaka 2 nyuma, hii ilimponza wakamg'oa hii ilitokea baada ya wamarekani waeneo lile kuandamana wakitaka kusikia serikali inasemaje kuhusu area51
👉Jesuit wanaitumia media kuitawala dunia mfano utaona Ndio wanaomilika media zote ulimwenguni ikiwemo sky sports tv ,trace music tv kwa upande wa entertainment , Pia wanamiliki Aljaziera ambayo hakika ndio inayotoa taarifa za dunia pia BBC,CNN na DwTv ikiwa lengo ni kukujuza kile watakachoukijue nasio dunia ingependa ujue, stesheni yeyote ya habari haipaswi KUTOA taarifa zilizo nje ya matakwa yao kinyumechake utafungiwa na MAMLAKA ya habari Duniani ama kuzimiwa mitambo kupitia satellite unayoitumia tambua Hawa wameishika anga
Lakin pia hawa hawa jesuit ndio wanaoandaa conditions zinazoendesha namna nchi za kimaskini Kama TANZANIA,jinsi ya kupata misaada ya kimataifa ikiwemo kuzipa mashari magumu ili ziweze kupata,mojawapo ya masharti magumu ni kamaa kuruhusu ushoga kama sehem ya starehe.ndo mama ninavyosema papa ambaye ni WHITE POPE kavaaa ngozi ya kondoo ya THE BLACK POPE ambae ndio msemaji mkubwa hii Earth/dunia
👉Hiv sasa huyu ambaye ndio wanamuita papa yan bado kila kukicha anatunga namna atakavyolidanganya kanisa lliruhusu ushoga kama desturi ya kawaida lakini pia anajiandaaa kutangaza kuwa arbotion now iwe ni optional(KUTOA mimba ni hiari) kwa dada zetu kwani kuzaaa sio lazima ndio mana alipoitembelea Uganda papa Benedict VIX ni hayati kwa sasa alisikika akisema waacheni wanaodhani ushoga ni njia ya kumtafuta Mungu pia kasikika akisema kama mwanamke kabeba mimba kwa bahati mbaya mwacheni afanye uamuzi maana ni hiari yake kubeba au la!.Hii haipo kwa bahati mbaya Bali ni mpango wa maje-suit Hawa kupunguza IDADI ya watu Duniani kutoka billion7 Hadi million500 ndani ya miaka100 kuanzia mwaka2020.
Kwa hiyo kila kiongoz anaewekwa kuwa kiongozi sehemu flan lazima ahakikishe kabla hajaodoka madarakani lazima awe ametimiza moja mbili tatu kuhus mpango wao wa N.W.O
👉Jesuit ndio wanaoanzisha vyuo vingi duniani vyenye misingi ya kutoa elimu kwa watu wote bila kubagua dini ya mtu lakin ajenda yao kubwa ni kutawanya elimu ambayo inamfumo ambao utawabana watu kufuata nyao zao na masharti yao ..
Mfano mzuri hapa tanzania tuna chuo cha SAUT ambacho kipo chini ya roman catholic church unaweza ukaona jins kilivyo sambaa kwa kasi tanzania nzima nafikiri ndio chuo kinachoongoza kuwa na matawi mengi nchini..
Jarib kufuatilia kila tawi namna linavyoendeshwa kwa misingi ya kirumi tena ukizingua kidogo tu unafukuzwa mara moja...
👉Hata serikali hii inapokea mwongozo toka vatican ndio mana hutasikia hata siku moja serikali inaleta ubishi ama ukali mbele ya kanisa catholic..awe ni rais ni kuongoza kwa kanuni za kuliruhusu kanisa katoriki kujitawanya kwa nguvu zote bila kupingwa na mtu yoyote na kiongozi yeyote lazima awe amekubalika na Vatican iwe ni Raisi,Padre,Mchungaji ama Imam/shekhe mkuu wa dini ya Kiislam Kwa nchi husika, kwani Roman Empire ndio waaanzilishi wa Uislam kupitia Vatican.
😭Poleni wakatoriki Kwa kuondokewa na mkuu wenu wa kanisa hili lenye misuli mikubwa nyuma ya ngozi ya Imani.
Mwenye suti nyeusi ndiye black pope,huyo mwenye suti nyeupe ndiye hayati Papa Fransis ambaye alikuwa hapo kufanya kazi anayoagizwa na je-suits brothers kupitia Black pope Arturo
✍️ Naligia Mninoi
Itaendelea..........