At last... nimeuona muendelezo wa Black Panther. It's a 9/10 for me, I enjoyed watching it on the screen mirrors reality, and I think the movie owes me a review.Finally......the wait is over
Mimi ni kama wale walimu ambao hawataki wanafunzi wapate 100/100 kwa kutumia kauli "Hatujatunga mtihani pamoja, inawezekana vipi upate zote"At last... nimeuona muendelezo wa Black Panther. It's a 9/10 for me, I enjoyed watching it on the screen mirrors reality, and I think the movie owes me a review.
hata kama mwanafunzi amepata zote kweli atajitahidi kutafuta vikosa vidogo vidogo hata viwili ili ampe 98 au 99. Na mimi nimeipa 9/10 kwasababu imenidondosha chozi mara tatu(kiasi cha kupandisha juu kidogo miwani ili kufuta chozi). To be honest it's 11/10
...Very stupid movie.Vp kuhusu ile The woman king
Upunga unakosaje mzee, jana naangalia movie unaona mtiririko unaenda fresh mara ghafla usagaji huu hapa.Nasikia hii Mpya Ina Upunga fulani...??