Black men love big fat girls

acheni uzushi ni nani kati yenu asiyependa VINONO,
labda kama hujawahi kaa nao FARAGHA wanahamisha mambo YETU yale.
 
Kumbe tukianzisha mpambano wa Avatars kutakuwa hakutoshi hapa jamvini
 
Mi nawapenda sana wanawake wanene mapipaz
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
Safi sanaa na hii ni sababu kuwa baba zetu huwa hawalalamiki maana mama zetu wengi ni wanene!!
 
i dont see no wonder!
Kwani hao wanawake hawapo?...au hawataki kupendwa?..
How come inakuwa ni ishu ya waafrika tu?

Absolutely nothing new!

bravoo PJ,

ka senksi kwa mbaaali nimepiga.
 
Tatizo letu vijitiiviiiii vinatusumbua sana.
mwanamke ni mwanamke tu,hata awe kama pipa ama sindano!
Wenyewe tunasema "Utamu wa pipi Mate yako" kushneyi,....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…