Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
...Mambo ya kuuzunguka mbuyu hayo wajameni..!!!!
Sasa hao wameanza vintu gani tena? Mbona kila mmoja yuko hoi lakini hawataki kuachiana?
Leka
...Mambo ya kuuzunguka mbuyu hayo wajameni..!!!!
i dont see no wonder!
Kwani hao wanawake hawapo?...au hawataki kupendwa?..
How come inakuwa ni ishu ya waafrika tu?
Absolutely nothing new!
Mi nawapenda sana wanawake wanene mapipaz