Black is Beautiful

Huyo mama ni wa kutoka kwenye kabila la Himba, lililopo Namibia na wengine wachache wanapatikana Angola. Ni moja ya makabila ambayo bado yanaishi kwenye mfumo wa normad life.

Moja ya sifa za hawa kina mama ni kwamba kuoga maji kwao ni mwiko, angalia hii video uone jinsi gani utunza ngozi zao.

​
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…