Hivi dada zetu wana matatizo gani asee? yaani amesex bila kinga, katika vyoote vya kuogopa yeye ni UJAUZITO TU? this is a shame. Huyu obvioulsy siyo mgeni hapa, ni mwenyeji amebadili ID tu; na nahisi ni mdada mzima kidogo lakini hajielewi, ukisoma thread yake kuanzia kwenye heading mpaka body unakuta kuna vitu flani vinamwonesha kama mshobokaji fulani hivi! SEX for fun si mbaya wengi tunafanya, hakikisha usalama wako kwanza. Kwa uzoefu wangu wa ujana (enzi zangu na mimi nilikuwa mpitaji mzuri tu) ni kwamba ni asilimia 10 tu ya wadada ambao wanauliza kama una condom, na ni asilimia 5 tu wanaosisitiza, hao wengine ukiwaambia "dah, nimesahau kununua, basi tusifanye tucheze tu" ukimchezea akahemka anachanua miguu ukimwaga ndiyo...."ayaaa, mshenzi wewe", hizo asilimia 90 wala hawajali kama kuna condom au hakuna, ni hatari sana!